Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
kijana maneno ya chadema 2010 dhidi ya cuf unayakumbuka?...dhidi ya mbatia unayakumbuka?......hapo nani msaliti kama sio chagadema?
Matatizo ya maendeleo afrika ni mapengo yasiyozibika. Tuna hofu na kila kitu hata sisimizi....mi nijuavyo hakuna mwanadamu ambaye ni 'absolute' na zaidi sana hatujui wanaozaliwa leo watakuwa na uwezo gani na teknolojia gani. Woga na udanganyifu kuwa huyu asipokuwepo hakuna kinachoenda umefanya akina Mugabe, Museveni, Biya, n.k. lakini tunajua hao si wa milezle. Wakati wa chama kimoja tulisema vyama vingi ni matatizo, leo sijui nani angetueleza mambo ya lista of shame kama upinzani usingekuwepo, sijui nani angetueleza wanaomilki mamilioni huko uswisi hapo kesho kama si hao 'wapinzani'...na sasa tuna woga wa kugusa watawala na vyama vyao...tutabaki na labda huku wenzetu wakisonga mbele....eti pengo halizibiki wakati tunajua kuna meno ya bandia tena siku hizi huenda yakawa bora zaidi kuliko ya asilia maana hayaliwi na wadudu...........!!!!!!!!Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo ameunga mkono msimamo wa UKAWA, baada ya kuzuia miswada mitatu inayohusu gesi na mafuta, amesema hata yeye angekuwa bungeni angefanya vile UKAWA walivofanya, kwani haoni uharaka wa kupitisha miswada hiyo, anasema mswada wa habari uliondolewa kwa vile tuu uliwahusu watu wenye uwezo, lakini miswada hii ya gesi inashindikana kuiondoa kwa vile tuu anayenyonywa ni mwananchi. SOURCE AZAM TWO HABARI
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Leo tena si wasaka tonge!? Huyu msaliti banaa ana vituko vya hali ya juu. Hajitambui kabisaaaaa
zito ndo nani?kiongozi mkuu wa act wazalendo ameunga mkono msimamo wa ukawa, baada ya kuzuia miswada mitatu inayohusu gesi na mafuta, amesema hata yeye angekuwa bungeni angefanya vile ukawa walivofanya, kwani haoni uharaka wa kupitisha miswada hiyo, anasema mswada wa habari uliondolewa kwa vile tuu uliwahusu watu wenye uwezo, lakini miswada hii ya gesi inashindikana kuiondoa kwa vile tuu anayenyonywa ni mwananchi. Source azam two habari
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Ukawa bado ni wasaka tonge kwa kuangalia tabia zao kuhusu posho lakini kwa hili la gesi wamekuwa wazalendo....
Hebu tuwekee hizo tabia zinazoonyesha usaka tonge wa UKAWA.
Mwenye macho haambiwi tazama.