Mbona hushangai kuhusu CUF kutokuwa CCM B tena?Leo tena si wasaka tonge!? Huyu msaliti banaa ana vituko vya hali ya juu. Hajitambui kabisaaaaa
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Mbona hushangai kuhusu CUF kutokuwa CCM B tena?
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
Ngoja tuone kesho kitatokea nini baada ya watu kupigwa ban.
Pengo la Zitto Bungeni halitazibika.
ni kweli maana yule whistle blower wa ccm hatopatikana mwingine .
umeandika kikakamavu sana ! asante mkuu .Hakuna pengo lolote lile, pengo mnaliona nyinyi vikaragosi vya mafisadi na wahuni ndani ya chama chenu maana nyeti mlizokuwa mnaletewa na huyo msaliti sasa hamzipati tena.