wakubwa nimefurahia hii thread ya ushirikiano kwa makamanda wa CDM, hawa ndio viongozi tunawataka kwa hali zote, maombi yangu mungu ni kwamba ccm na vibaraka wake wote washindwe na kila mmoja wetu afunguliwe macho aone ubaya na hatari ya ccm kutunyonya na kutugawa kwa misingi ya ukbaila, dini na ukanda, naomba vijana wote tuungeni mkono anguko la ccm.
Naomba makamanda wote tupige kura zetu kesho na tusilinde. PIA TUFANYENI UCHUNGUZI JUU YA MBINU ZA KUTUIBIA KURA ZETU KWA MAGAMBA.