Hongereni sana ila zito asijekusema anataka urais.
Molemo Leo anamsifu ZZK maajabu!
Anyway,hizi ndo siasa tunazotaka sio za majungu na fitna! Kila la kheri ZZK na Viongozi wengine(hata na wale ambao hawana majina) katika kuhakikisha ushindi kwa chama.
vipi James Ole Milya yeye kapangiwa kanda ipi??
Habari njema hizi.
Ahsante Molemo.
James Millya amekuwa akishirikiana na makamanda kanda ya kaskazini.
nakuunga mkono hoja yako,chama cha kwake wananchi wa kwake haraka ya nini,mbona slaa hatukutarajia kama angegombea ? Dogo zzk punguza hasira mambo mazuri hayana haraka...Yeah kikubwa zitto jenga chama urais unakuja wenyewe usiukimbilie
Hivi ndivyo inavyotakiwa. Zitto ni lazima ajikite katika ujenzi wa chama na si vinginevyo. Long live CHADEMA.
Nashukuru kwa taarifa mkuu maana ni siku nyingi sana hajasikika kabisa kwenye M4C