Ilipotoka Richmond ikaja Dowans, tulipata umeme... lakini bila shaka unajua ni nini kilitokea behind the sceneAngalia anavyotafuta umarufu??
"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."
My take: this is cheap publicity you are after!!!
Umeme tunapata unataka nini zaidi?
Angalia anavyotafuta umarufu??
"@zittokabwe: @JMakamba @jjmnyika Ninaleta ombi kmt ya Bunge ya Nishati na Madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya IPTL."
My take: this is cheap publicity you are after!!!
Umeme tunapata unataka nini zaidi?
atuna umeme bwana kwani amjui kuna mgao unaendelea mpaka sasa.
wacha wafanye kazi yao,who r u damn?
'angalia anavyotafuta umarufu??
"@zittokabwe: @jmakamba @jjmnyika "ninaleta ombi kmt ya bunge ya nishati na madini ifanye uchunguzi maalumu kuhusu zabuni ya uagizaji mafuta ya iptl."
my take: This is cheap publicity you are after!!!
Umeme tunapata unataka nini zaidi?
It high time tuwageuke wanasiasa, wamekaa kugeuza geuza maneno tu, kwani waliosababisha tukakosa umeme wa ricmond si hao hao kina ZITTO?
Umeme upo bana acheni mashihara
Haya ngoja ZITTO awatibue hao wanaopeleka mafuta IPTL mwone kama hamjaingia gizani
'
niruhusu nikutukane pumbavu. Kwa hiyo kama umeme tunapata hata kama kwa njia za ufisadi, tukubali tu watu wajipatie pesa halali kwa kinga ya kuleta umeme? Mbona mwanza kila siku kuna mgao? Kwa wiki nzima ilemela umeme kutwa nzima hakuna.
Wakati wote namuona zitto km kijana ndumila kuwili sn. Anatumiwa sn na ccm kuvuruga cdm ila anapata taabu kwa sbb inteligensia ya cdm ni zaidi ya ile ya serikali. Atakuja kupotea vibaya sn kwenye ramani ya siasa
Huyo jamaa inaonekana kila akimsikia zitto anatoka
kijasho chembamba makalioni,...
Watu wengine hawana akili kabisa,...
Afu bila aibu eti hoja yake "umeme tunao"....shit
My point! Asitafute cheap publicity aende akarekebishe vifungu kwa manufaa ya vizazi vijavyo kama wenzake mnyika na lisu!!
Namsikiliza sana ndio maana namwona so cheap
Kuna watu Zitto anawanyima sana usingizi, na mwaka huu ndio hamtalala kabisaa.
Mleta mada sijui kama anaelewa Zitto alichokuwa anatweet au ameamua tu kujifurahisha.
Hiyo habari imetoka kwenye gazeti la The east african leo kama lead story, na Zitto akawa anawakumbusha January (Mkt wa kamati ya nishati)na Mnyika (waziri kivuli) kwamba yeye alishaiibua POAC mwaka jana April na akamwandikia speaker barua kuitaka kamati ya nishati ifanye uchunguzi maalum lakini mpaka leo kimya! Audit query ya $54 million ni kubwa sana jamani!
Hata kama hampendi, huyu kijana anafanya kazi kubwa sana kwa nchi hii, nyie endeleeni tu kupotosha na chuki zenu binafsi yeye anasonga mbele