Mbali na mizigo, idadi ya mawaziri ni kubwa ni mzigo wa gharama kwa taifa, kuwatunza bila faida yoyote!! Liwekwe baraza dogo la mawaziri, liwe competent, efective!!
Ondoa lundo la watu wasio na tija!!
Ukiona ccm inakukera,jitangazie uhuru,anzisha nchi yako!
Hapa tutatawala mpaka damu yako itavyofutika ulimwenguni
Na baba ako pia, sababu alishindwa kukupatia maisha mazuri,saiv umebaki kulaumu watu serikalini
Mkuu ungetaja full name maana ukiishia hapo hilo ni neno tata; Simba mnyama, Simba timu ya soka au? Labda kwa msaada wa wasiomjua unamaanisha waziri SOPHIA SIMBA?Simba......!
WanaJf, katika orodha ya majina ya mawaziri mizigo wanaotajwa sehemu mbalimbali kwenye mikutano ya hadhara, bungeni na mitaani ni waziri gani anaonekana ni mzigo zaidi kuliko wengine? Au kama vipi orodhesha kuanzia waziri mzigo zaidi hadi nafuu kuliko wengine.
wote uliowataja umepatia , lakini pale namba 6 UMEPATIA ZAIDI ! Yule mama TIBAIJUKA amefeli kuliko tulivyotarajia , kiukweli amenifanya nitafakari tena kuhusu kuwaamini wanawake .