Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
- Thread starter
-
- #21
Hivi hujagundua kauli ya PM "...wapigwe tu..." ilivyoleta madhara mpaka sasa...?
Nani aliokwambia CCM wanampenda Zitto. Sisi tunapenda anavyowasambaratisha lakini yeye kama chadema, ni no no no no no.
Pinda anamatatizo yake ndiyo, lakini Zitto anamtungia uwongo na kumfuatafuata sana. Halafu unasema Pinda ni mzigo, nikwambie kuwa rais ndiye mwenye mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri siyo waziri mkuu.Kila mtu anamwona Pinda ni mzigo wewe sijui unamatatizo gani usyeona matatizo ya Pinda
Sasa hapa umeandika nini, hamna kitu.Huna hoja ya maana. Siku nyingine, kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako.
aiseeeee babayangu hizo ni hisia zako binafsi
Pamoja na kuwa Zitto anapendwa na wana-CCM, jambo moja linanishangaza sana. Sielewi ni kwa nini Zitto anamshupalia sana mh. Pinda. Kuna wakati alifikia hatua ya kukusanya saini ili Pinda ajiuzulu. Halafu akasema Pinda analipwa mshahara wa milioni 30. Halafu issue inapotokea bungeni Zitto anamng'ang'ania Pinda ajiuzulu, kwa nini? Hivi karibuni Pinda alisema kuwa Zitto anamzushia uwongo hadi Mh. Pinda akataja mshahara wake kuwa ni mil 6 na pia akataja mshahara wa rais.
Je Zitto anafanya kampeni aliyotumwa ili mtu wao aje kuwa waziri mkuu? Nina wasiwasi Zitto ametumwa na mtu mzito katika CCM na mkubwa katika serikali ili Pinda aondolewe kwenye uwaziri mkuu na huyo mtu wao waliyemuandaa apewe nafasi hiyo. Vinginevyo sioni kwa nini Zitto kila wakati anamwandama mh. Pinda. Kama ndivyo Zitto anafaidika vipi katika kampeni yake ya kumwondoa Pinda kwenye uwaziri mkuu?
Hapa umeandika nini sasa, hamna hoja.Hii ni Hoja au Vioja

Huamini kama CCM wanampenda Zitto? fuatilia vizuri. Umesoma walaka wa Siri uliowafanya wafukuzwe uongozi Zitto na Kitila. Walisema Zitto anakubalika na wana CCM, anapendwa ni mtu wao wanamtumia.
ni vigumu kujadili hisia zako binafsi. Labda watakusaidia bavicha wasio jitambua.
Ben saanane na timu yake. SUMU LTD
Pamoja na kuwa Zitto anapendwa na wana-CCM, jambo moja linanishangaza sana. Sielewi ni kwa nini Zitto anamshupalia sana mh. Pinda. Kuna wakati alifikia hatua ya kukusanya saini ili Pinda ajiuzulu. Halafu akasema Pinda analipwa mshahara wa milioni 30. Halafu issue inapotokea bungeni Zitto anamng'ang'ania Pinda ajiuzulu, kwa nini? Hivi karibuni Pinda alisema kuwa Zitto anamzushia uwongo hadi Mh. Pinda akataja mshahara wake kuwa ni mil 6 na pia akataja mshahara wa rais.
Je Zitto anafanya kampeni aliyotumwa ili mtu wao aje kuwa waziri mkuu? Nina wasiwasi Zitto ametumwa na mtu mzito katika CCM na mkubwa katika serikali ili Pinda aondolewe kwenye uwaziri mkuu na huyo mtu wao waliyemuandaa apewe nafasi hiyo. Vinginevyo sioni kwa nini Zitto kila wakati anamwandama mh. Pinda. Kama ndivyo Zitto anafaidika vipi katika kampeni yake ya kumwondoa Pinda kwenye uwaziri mkuu?
Suala hili la tokomeza lilibebwa ba rais mwenyewe. Ulisikiliza hotuba yake bungeni wakati akielezea ufidhuli wa akina Kagame? soma kwenye uzi wangu wa msingi. Halafu umesoma taarifa ya uchunguzi wa kamati ya bunge? Kwa ufupi ni kuwa taarifa za utekelezaji wa kampeni zilikuwa zinaenda kwa mkuu wa majeshi. Sasa hapa ndiyo utajua kuwa Pinda hana kosa lolote hapa. Mkuu wa majeshi anawajibika kwa amiri jeshi mkuu, ambaye ni rais. Kwa hiyo bado nasema Zitto anamfuatafuata sana Pinda, na mimi nasema ifikie mahali Pinda naye a- fight back kwa Zitto.Hivi mtoa hoja kabla ya kumuhusisha zito pekee Kwa hilo ukimfikiria tu pinda utendaji wake yuko sahihi? Mfano juzi mhe.Lugola alivokuwa anampa makavu laivu alikuwa wapi mpaka madudu yote yanatokea habari za kitelegencia hazikumfikia? haingii akilini nilichosikitika zaidi baadae nilitegemea yeye atajiuzulu kumbe anatangaza wenzie kusitishwa uwaziri wao sasa cha kujiuliza anaowatangaza wakina nani na yeye nani tena anaonekana hajutii hata uzembe wake inasikitisha kuwa na waziri mkuu wa namna hiyo mawaziri watatu wanaondolewa kwa kashfa kama hizo yeye ajione hana tatizo, tatizo analo nashindwa kumuelewa hajielewi au anajibaraguza.
Wanawake wamebakwa, wamezalilishwa, wamewekwa vilema vya maisha, wengine wamepoteza maisha inasikitisha, inahuzunisha tena sana sikuwahi kufikiri hata siku moja kwa tanzania hii ya sasa yaha mambo bado yapo. Kama wewe unaona zito anamuonea Mhe. Pinda si kweli zitto unamsikia kwa vile anapo pakusemea wengine hatuna nasi ungetusikia.
Mhe. Lowasa sina mapenzi naye lkn alikuwa anaonesha yaani msisimko na jambo pia ana take action kwa hilo namsifu, mengine ni mapungufu yake lakini halikuwa mchapakazi.
Mhe. pinda ajiulize mara mbili mbili yuko sahihi na utendaji wake? ikiwa yeye alikuwa hajui kilichoendelea nani wa kumuuliza? kama mawaziri wanamdanganya ! Wakuu wa mikoa na wilaya wote wako chini yake pia hiyo hajui na wakati anaongea na Rais anamwambia madudu yaliotendeka tiyari ilikuwa swali moja tu lakumuuliza ulikuwa wapi haya hakitendeka? Ninamaswali mengi sina wa kunijibu juu ya hili lakini inasikitisha.