Zitto amtwanga barua Balozi Mwapachu

Munaonaje zitto akiwa raisi wa nchi hii 2015?coz he is very smat na anamawazo ya utaifa siku zote.
 

Mheshimiwa Zitto heshima yako mkuu.nashukuru kwa kutetea maslahi ya nchi pasipo hata kuwemo kwenye sekta husika.barua yako ni nzuri na imenipa mwanga mkubwa kwenye mambo ya taxasion na foreign investors.I thank you deeply from my heart.Be blessed!
 
Well, let me comment on two issues:
1. There is a trend, whereby diplomats, higher ranked civil servants and politicians have been absorbed and made shareholders or board members in these multinational companies, which are merciless plundering our resources and are cunningly evading taxes. E
Examples are many: Ami Mpungwe, Salim A. Salim, Msekwa, Warioba, Bomani and now Mwapachu just to mention a few of them. I don't deny them serving these new masters as long as long they are proved that they didn't use their offices to prepare for themselves these future fatty positions in multinational companies, they have acquired! They have to be proved and declared publicly to have not done so before they crossed to these new masters.

2. NICOL would have been the best vehicle to enable Tanzanians to raise huge capital to commonly participate in owning shares in these multinational mining companies. Unfortunately, Nicol's CEO Mr. Felix Mosha has mismanaged the good beginning and therefore not only bringing NICOL to bankruptcy but ruined the very important trust that was starting to takeoff namely to corporately investing in a bigger way. Sadly, no one has attempted to bring him to books, instead they have left him to lead CTI! We need NICOL back to empower us and enable us to have shares in these mining companies. Would Minister of Trade C. Chami or his assistance L. Nyalandu follow up this issue of NICOL?
 

umesahaua mara appolo !!!!
 
Haya ni mambo ya muda tu, wakati ukifika wala hututayaona wala kusikia.
 
Kwani hiyo migodi itavunwa mpaka lini?.... nadhani deposits zake zitaisha in like 10 yrs. 90 million ounces at 5mil a year since 2005? why would anyone buy those shares? after like 15yrs all those mines will be depleted.
We got screwed!
 
Mh Zitto,

Kuna mapungufu machache kwenye maandiko yako, ila kabla sijaweka sawa nijulishe, ABG LTD imekua REGISTERED wapi?, Pangea Ltd NorthMara, Buzwagi Bulhyahulu Ltd etc (just to mention local operations) zipo REGISTERED wapi?

Na anae FLOAT share at DSE ni hao akina NorthMara Ltd, Pangea Ltd etc au ni ABG Ltd?

Ukishaweka sawa hayo nitakupa shule ya corporate tax na ownership (from 76% to 66% uliyotaka) kisha nitakupa shule ya dividends na bei ya share na pia nitamalizia na kinachorudi kwetu, value added statement.

Thanks

Fairplayer
 

Nicol was a failure abnition.

Only a fool would invest his money in Nicol. To make it easier for you, NICOL needs very very small investors, mkulima kijijini na low income earners to invest. Kwa mwenye million tano you dont need to invest in NICOL because you are reducing your dividend by taking off admin costs of Nicol.

Mchungwa unauona kwanini ungoje uchumiwe ndo upewe? ndivyo NICOL inavyofanya kazi.
 
Reactions: Zed
I doubt if Zitto is 100% clean

bila shaka hujasoma ukamaliza kirushwa chote. Zitto amechambua kiasi gani tunaibiwa, sasa uchafu wa Zitto uko wapi?

Unayetakiwa kumtukana ni Balozi Mwapachu na masaburi yake, anayetumiwa na Barric kuliibia taifa. Jitu kubwa kama yeye kusifia Barric kuchangia uchumi wa taifa ETI KWA SALARIES ZA WATUMISHI WAKE ni ujinga ambao hatupaswi kuuvumilia.

Siku anatangaza kuuzwa kwa hisa hizo, niliona ni kiasi gani viongozi wanaopewa hizo 10% commission wasivyokuwa na uchungu na maisha ya watu

 
inahusiana vipi na habari hii?????

Uelewa wake mpana na wenye aslimia kubwa ya uhakika ambao unampa uwezo wa kujua mengi, kama utafiti, uchambuzi, matokeo chanya au hasi, access au source yake. Wa aina hiyo hatakwepa vishawish kwa waoga ambao wanaona mambo yao yanaelekea kusiko, si lazima wazibe?

Sasa katika kuziba, atahimili nguvu hiyo. Ok, let us dwell on the good things. Endelea Mhe. Zito, tupo nawe. Mkuu Nduka kwa kusema hivyo, yaelekea nawe ni kichwa. Expound without hestation ili ueleweke vema.
 
munaonaje zitto akiwa raisi wa nchi hii 2015?coz he is very smat na anamawazo ya utaifa siku zote.

naunga mkono hoja ingawa atazuiliwa na umri, hajafikisha 45, ccm waliandika katiba kuwa mtu atakuwa rais mpaka atimize 45yrs
 
Wakati mwingine mimi huwa nasema ni bora hayo mazaabu yachumwe na yaishe!!

Uwepo wake ni karaha kwetu, watu wamejijengea utaratibu na haki ya kufaidi wao, utadhani ni yao!!!
 

You sound very Aggressive n' thats how we want our leaders to be. They have to find loopholes and do something about it. Nasio kuleta miswada ya kijinga bungeni.
 
If we have to stand firmly talking of issues and not persons,,and ones integrity and not identity!ZITTO's integrity is high and his issues are material to the Nation...!
 
By libasket b

munaonaje zitto akiwa raisi wa nchi hii 2015?coz he is very smat na anamawazo ya utaifa siku zote.

Problem yetu ya leadership crisis imetufanya tuone kila mwenye mwelekeo wa kuibua maovu au kutetea wananchi ndiye anafaa kuwa kiongozi wa Taifa letu. Zitto anaonekana kuwa kiongozi mzuri tu kama JK lakini inabidi tuangalie katika level ipi?? Uwaziri?? Labda!! So far Zitto siyo presidential material hata nusu. So far kati ya wanasiasa waliopo sasa kuanazia CCM mpaka upinzani only Dr Slaa may make a good Prez!!! That's my opinion!! Anywa, Big up Zitto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…