Zitto: Ampiga kijembe Magufuli

Zitto: Ampiga kijembe Magufuli

Eddo Sambai

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
2,412
Reaction score
1,928

Kuna watu wamekuwa kwenye Bunge na Baraza la Mawaziri kwa miaka 20 na hawajawahi kuinua midomo yao kutetea maslahi ya Wasanii. Sasa wanajiapiza kuendeleza wasanii na wasanii wanaona wamepata wakombozi.
 
Usanii umepiga hatua nchini ukilinganisha na enzi za Rtd akina Mzee Jangala ama enzi za msondo na sikinde 80s na 90s.
 
MOTOCHINI kiongozi wako mkuu leo amekuacha mkiwa
Sasa nduguyangu utambue kitukimoja, huku ACT hatuna umungumtu au fuata mkumbo au ndio mzee, yeye anakile akiaminicho mimi sifuati mkumbo naamua na tenda kwa uhuru wangu sifanyi et kumfurahisha ama kutekeleza msimamo wa ztt. TEAM WAZALENDO
 
Last edited by a moderator:
Sasa nduguyangu utambue kitukimoja, huku ACT hatuna umungumtu au fuata mkumbo au ndio mzee, yeye anakile akiaminicho mimi sifuati mkumbo naamua na tenda kwa uhuru wangu sifanyi et kumfurahisha ama kutekeleza msimamo wa ztt. TEAM WAZALENDO

hata alivyohamia ACT hamkufata mkumbo.
 
Zitto kumbuka kuna waliokaa kwenye system zaidi ya miaka 30. Je, hawa wamewafanyia nini wasanii? Au sera hiyo ya kuinua wasanii hawan. Tafakari
 
Back
Top Bottom