ZITTO akicheza huko Dubai

Mwakahuu mtakosa cha kupost kama chuki mwisho wasiku badala ya kuweka chuki na porojo mta mkubari tu
 
Kigoma ya Sasaaa....
Si Kigoma ya Zamani
Kigoma ya Leo, Inasonga Mbele....

Pole Pole Bandugu Even Rome was Not Built in a Day....

Ingawa kwa aliyeamini Sound za Msanii atakuwa ana Matatizo ya Kudanganywa
 
Miaka 36 nimemaliza siku nyingi tu, sasa hii kuita mtu Vijana au Kijana inaonekana umekulia Mitaani.

bavicha kwa vijembe vya kianamke anamke wako vizuri sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…