ALEX PETER
Senior Member
- Jan 17, 2012
- 117
- 23
Hakuna jipya.
hakuna jipya.
kama hakuna jipya kwanini hatuendelei
Kufutwa misamaha ya kodi ni ndoto maana kuna makundi ya kijamii yananufaika sana nayo!
Kufutwa misamaha ya kodi ni ndoto maana kuna makundi ya kijamii yananufaika sana nayo!
Of course. kundi mojawapo ni CCM
Unafikiri Tanzania ya leo ndiyo ya jana na juzi?
Heri Muungano uvunjwe tu, kama wenzetu mnaongea tu juu juu bila kufafanua namna hii. Kiuchumi hamchangii chochote na hata maoni tu yanakuwa jumla jumla? Taja hata makundi mawili kujustifyKufutwa misamaha ya kodi ni ndoto maana kuna makundi ya kijamii yananufaika sana nayo!
Jipya lipo zomba, hukumbuki serikali ilipotaka kufuta misamaa ya kodi ya mashirika ya dini ni kundi gani lilimtolea macho rais?
Wanasiasa na walalahoi (ultimate consumers).Heri Muungano uvunjwe tu, kama wenzetu mnaongea tu juu juu bila kufafanua namna hii. Kiuchumi hamchangii chochote na hata maoni tu yanakuwa jumla jumla? Taja hata makundi mawili kujustify