mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Mgombea anakamilishwa na components za chama. Moja ya components zinazowakamilisha wagombea ni Manifesto. Kwa lugha nyingine, watengeneza Manifesto ni sehemu ya mgombea kama ilivyo kwa mgombea ambaye pia ni sehemu ya watengeneza Manifesto...kisiasa tunasema Kitila na Mwigamba hawana wafuasi.
..YES, wametengeneza ilani ya chama, but at the end of the day wananchi wanampigia kura mgombea.
..
kwani zitto mpaka sasa ni mwanachama wa chama kipi?Kumuomba Radhi must, kama kifo Kwa binadamu, wamemdhalilisha sanaaaa na yeye pia ana moyo kama wengine ..
Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.
Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.
Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.
Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.
Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.
Pasco
kwii kwii kama ccm hawawezi kuendesha chama bila mafisadi kamwe!Wale waona mbali tunasema hivi chadema acha wajipapatue tu lakini ukweli ni kwamba lazima zitto wamrudishe hawana ujanja kuendesha chama bila zitto.
hayo yapo zaidi ccm..Kwani ndani ya chadema ni nani msaliti mkubwa wewe ,wewe ni sisimizi tu ndani ya chadema we nani mpaka upinge wazo la mwenyekiti.
Kiongozi act ahutubia mkutano wa ccm geita tafakari vuteni subira
mkuu acha uwongo, zitto amewahi kusaliti chama chake zaidi ya mara moja, mwaka 2010 alisaliti msimamo wa chama chake wa wabunge wake kutoka nje ya bunge wakati jk akihubia bunge kwa mara ya kwanza. Zitto alikimbia hakuhudhuria .zitto hajawahi kusaliti chama tatizo la viongoz wengi wa tanzania ni uwezo mdogo wa kukabiliana na hoja kinzani tu, kuwa chama kimoja hakumaanishi kukubaliana kwa kila kitu. Bado kuna itkadi za mtu binafsi na kile anacho kiamini tofauti na mtu mwingine. kama kweli zitto ni msaliti asingekuwa na uwezo wa kufanya alichokifanya kwenye issue ya ESCROW. Kumbuka sio mara zote wengi wanakuwa sahihi. pia wanajamiiforum tuache kuchonganisha watu kama tuko kwa maslai ya uma kweli., Chadema inamuhitaji Zitto kuliko muda wowote ule huko nyuma.
Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.
Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.
Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.
Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.
Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.
Pasco
Mnamrejesha na nyadhifa zake?Nakunali kuwa kama kweli Zitto alitoa masharti hayo alikosea. Siku zote ukitaka muafaka wa kweli ni muhimu sana kusamehe au kufuta makosa yote ya nyuma. Hata hivyo nisingedhani pia suala la Zitto kutoa kauli hiyo (kama ni kweli alitoa) iwe issue ya kuchukua muda ndani ya chama, i dont see if its an issue which requires that much of the attention. Kama alivyoshiriki vikao juzi bila masharti iwe hivyo hivyo. Nasisi pia tuache kuchonganisha huo kwa kuongeza chumvi nyingi.
Vipi kuhusu Lissu na Mnyika walivyomshikia kidedea na kumtukana sana katika majukwaa mbalimbali? Kibaya zaidi, hata Mhe Mbowe alikwenda jimboni kwa Mhe Zitto na kumsimanga live kijijini kwao, we unaona imekaaje hii!
pamoja na maelezo mazuri uliyoandika hapo juu nitawadharau sana cdm kama watamwomba msamaha zitto, chama as a group hakiwezi kujishusha kwa mwanachama mmoja! Mbona ccm haikujishusha kwa samweli sitta pale ilipomtendea hujuma ya wazi kwenye kugombea uspika?Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.
Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.
Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.
Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.
Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.
Pasco
..kisiasa tunasema Kitila na Mwigamba hawana wafuasi.
..YES, wametengeneza ilani ya chama, but at the end of the day wananchi wanampigia kura mgombea.
..
Mgombea anakamilishwa na components za chama. Moja ya components zinazowakamilisha wagombea ni Manifesto. Kwa lugha nyingine, watengeneza Manifesto ni sehemu ya mgombea kama ilivyo kwa mgombea ambaye pia ni sehemu ya watengeneza Manifesto.
Hii dhana ya kusema fulani ni muhimu kuliko wengine ndiyo inavijenga vyama katika msingi wa personality badala ya Institution. U-mimi unakuwa ndiyo kioo cha chama. Kama unavyosema hapa kuwa Mhe. Zitto ni muhimu zaidi ya wengine.
Ndiyo maana hata kwenye chaguzi ambazo zinaruhusu wagombea binafsi, ni mara chache sana wagombea binafsi huwa wanachaguliwa.
hata mimi naamini hakuna ccm bila mafisadi kamwe!Mpaka leo naamini hakuna CHADEMA bila ZITTO.