Zitto Acha ubaguzi wa kijinsia.

Zitto Acha ubaguzi wa kijinsia.

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
202
Reaction score
1,588
"Awamu zote nne zilizopita tumeongozwa na wanaume, this time tunataka Mwanamke. Tunamtaka Mama. Twende na mama." ZZK, 30/08/2015, Dar.

My TAKE.!
Sikutegemea mwanasiasa wa muda mrefu kama Zitto anaweza kuongea cheap politics kiasi hiki. Watanzania tunataka Rais hatutaki mwanamke wala mwanaume. Tukipata Rais mwenye vision awe mwanamke au mwanaume WHO CARES?

Yani tunaacha hoja tunazungumza jinsia? Kwa hiyo ACT kimeacha kuwa chama cha siasa kimegeuka kuwa Mtandao wa jinsia? Bunge lililopita liliperform vibaya sn kwa sababu kama hizi za ZZK. Tulitaka Spika tukapewa Mwanamke. Matokeo yake kila mtu anajua.

Kwa maoni yangu naamini mgombea wa ACT mama Mghwira ana sifa na uwezo wa kuongoza. So ni vizuri ZZK akamnadi mgombea wake kwa uwezo wake si kwa jinsia yake. Kumnyima mtu nafasi kwa sababu ya jinsia yake ni UBAGUZI, na kumpa mtu nafasi kwa sababu ya jinsia yake ni UBAGUZI pia. So Zitto acha ubaguzi. Mnadi mgombea wako kwa hoja, mambo ya jinsia waachie TGNP.!
 
Nchi Uingereza kwa sasa ipo taasisi ya wanawake wanaojiita wanaharakati wanaopinga kile kinachoitwa upendeleao maalumu kwa wanawake . Wanasema kuwapendelea wao tu eti wanawake ni ubaguzi. Wanawake wanapaswa kupewa nafasi kulingana na utendaje wao na siyo kwa sababu ya jinsia yao.
 
huyo mama imetokea tu baada ya mhusika mkuu kukataa, kujishushia heshima yake, yeye alikuwa amesha chukua fomu ya kugombea ubunge, baada ya KITILA MKUMBO, kugoma ndio wakaona isiwe tabu bora liende, simama wewe mama, kama walikuwa wanaliona hilo la umuhimu wa mwanamke kwanini hawakumpa nafasi hiyo toka mwanzo?!! Eti tumchague tu kisa ni mwanamke, hii nchi kwa sasa tulipofikia mwanamke atuache kwanza tunyooshane kuiweka kwenye mstari then, taasisi zote zikiwa zinafanya kazi zao inavyotakiwa ndio mwanamke ataweza, Ingebidi kwa miaka hii mitano kwanza mtu aipeleke nchi hii ki dictator kuirudisha kwenye mstari, ambaye atavaa sura ya u kauzu. na lazima asitoke ugambani.
 
Back
Top Bottom