Wanajf toeni maoni basi mbona malalamika tu, mshikaji atajisikia vibaya sasa, yote yanayosemwa ni kweli ila tutoe maoni kuhusu hii bajeti ya mwaka huu basi. Kwaajil ya kumrekebisha zito tutaanzisha nyingine.
I usually find myself in mysterious situation when I correlate the pase as which the national debt is growing and the amount and quality of social services offered by the government!what actually does the government do with this huge amount of money which we borrow from whoever??
I usually find myself in mysterious situation when I correlate the pase as which the national debt is growing and the amount and quality of social services offered by the government!what actually does the government do with this huge amount of money which we borrow from whoever??
Kasheshe, tuna kitu kama miaka 13 imebaki tufikie 2025 (Vision 2025). Ili kufikia hiyo vision serikali ili-break down plans tukapata miaka mitano mitano na ndipo tukawa na kitu kinaitwa MKUKUTA. Sasa hivi tuko kwenye MKUKUTA 2. Wakati huo huo tunaambiwa kuna 2011-2015 development plan. (Personally sijaelewa kwa nini tuna mipango miwili yaani MKUKUTA na huu wa 2011-16). Lakini nimejaribu sana kupitia bajeti za wizara nyingi ni vigumu sana kujua kama we're on/off track kwa malengo ya Vision 2025. Na kama tuko off track, je, kwa muda huu uliobakia tunawezaZitto: Mimi nina machache sana, tena sana.
1. Ni matumaini yangu kuwa vyama hivi vya upinzani vingeleta mwelekeo tofauti tuliozoea wa bajeti ya kubalance numbers... na kila mbunge akisimama anasema huko hela kidogo, huku nyingi... huu ni upotevu wa muda.
2. Kwa maoni yangu, upinzani unatakiwa kutuondoa kwenye mjadala wa kubalance bajeti na kwenda kwenye kujadili Annual Government Plan na 3 Years Government Plan.... meaning mfumo uwe... mwaka huu tunataka kufanya 1, 2, 3... etc.... ndio mwishoni tuseme how to finance those plans we want.
3. Ni aibu kubwa na kubwa sana kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ku-focus too much on Annual plan/budget badala ya ile ya 3 years plan... kama taifa litakuwa lina heshimu hii mipango ya miaka 3, 5 na vision 2025 tutaenda mbali... lakini hii mipasho ya annual budget it is real wastage of time... ingawa yes ni lazima pia iongelewe... lakini huwa mnaiiacha serikali inacheza na wabunge sana... maana you do not question it... why you do not follow the stragic plans....
Kasheshe, tuna kitu kama miaka 13 imebaki tufikie 2025 (Vision 2025). Ili kufikia hiyo vision serikali ili-break down plans tukapata miaka mitano mitano na ndipo tukawa na kitu kinaitwa MKUKUTA. Sasa hivi tuko kwenye MKUKUTA 2. Wakati huo huo tunaambiwa kuna 2011-2015 development plan. (Personally sijaelewa kwa nini tuna mipango miwili yaani MKUKUTA na huu wa 2011-16). Lakini nimejaribu sana kupitia bajeti za wizara nyingi ni vigumu sana kujua kama we're on/off track kwa malengo ya Vision 2025. Na kama tuko off track, je, kwa muda huu uliobakia tunaweza
kurebisha mambo na kurudi kwenye mstari?
Kwa mfano, kama tulisema madini yachangie % ngapi kwenye GPD by 2025, sasa tumefikia wapi? Au tulitaka utalii au uvuvi, au kilimo kichangie kiasi gani by 2025 na sasa tuko on/off track? Kama tulisema tunataka tuwe na madaktari 5,000 sasa hivi tuna wangapi?
Sasa hivi serikali inakopa sana, kama sikosei govt ndio mkopaji mkubwa kwenye commercial banks zetu hapa nchini! Kukopa sio mbaya ila tatizo ni tunafanyia nini huo mkopo? Tunakopa kulipa mishahara ya watumishi na sio kugharamia miradi ya maendeleo. Huku ni sawa na mkulima kula mbegu! Deni la taifa tunaambiwa ni 22 trillion, wamefanyia nini hizi hela? Na nani atalipa? and how kama tunakopa kulipa mishahara?
Ndio maana unaona Mkullo alikabidhi bandari ya Mtwara baada ya kushindwa kulipa deni la ndege! Siku zote nimekuwa naamini matatizo mengi tuliyonayo yanasababishwa na bunge. Bunge limelea bajeti za kipuuzi, bajeti za mishahara na posho wa warsha.
Bunge linatakiwa lisome Vision 2025 na MKUKUTA na hii 2011-2016 na kuelewa kila neno, halafu kila wizara ilete mambo yanayoelewa, waeleze wamefanya nini inline na hizo plan na kama wamekwama kwa nini?
I usually find myself in mysterious situation when I correlate the pase as which the national debt is growing and the amount and quality of social services offered by the government! what actually does the government do with this huge amount of money which we borrow from whoever??
Ningependa bejeti itakayopunguza matumizi ya serikali. Hii ina maana kwamba serikali ipunguze mambo ya anasa kama vile kununua utitiri wa magari, utitiri wa semina zenye malipo na marupurupu..