Zito unatuchanganya sasa

Zito unatuchanganya sasa

Huwezi kumwelewa zitto maana umande ulikutesa sana kipindi icho na kwa kupewa elimu kidogo tu bajeti inayotumika sasa ni ya 17/18 So hakukua na hili swala la ununuzi wa korosho kwa iyo ili liwekwe sawa serikali inatakiwa kwenda kuomba bungeni hizo pesa bil600
ina maana hujui lolote kuhusu mfuko wa dharura au unajitoa akili tu?
Nani alijadili ununuzi wa ndege bungeni?
 
Bil 600 inatolewa wapi ili kununua korosho? Usishupaze shingo cococho,kuwa flexible wakati mwingine
Kaona hatapata cha kuweka mfukoni mwake.. Zitto ni mvizia bahasha za khaki.. huwa ana lingine anapopiga domo lake kila kona
 
Zitto ni mchawi wa kwanza wa taifa hili.
I wish i had a gun and let plenty of bullets drilling zitto's asshole.
Mchawi mkubwa anayejivunia na kutishia watu na uchawi wake hadharani.
I WISH MV NYERERE HAD GONE WITH YOU.
 
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Zitto yupo sahihi. Hela ya Serikali lazima ifuate utaratibu wake. Kufuata utaratibu kunamhusu kila Mtanzania awe raia kapuku au Rais wa nchi
 
Bil 600 inatolewa wapi ili kununua korosho? Usishupaze shingo cococho,kuwa flexible wakati mwingine

Ha ha ha haaaaaa
Unaniuliza maswali halafu unasukuma niwe utakavyo..

Kituko humu sipangiwi na mtu cha kuandika.. pokea 💉💉💉 zaidi
 
Serikali ilishatoa tamko bungeni on how to end huo mgogoro na bunge likaipokea taarifa ya PM...huu sio muda wa blah blah ni vitendo tu
Tamko haijawahi kutengeneza budget. Wapeleke Bungeni kuomba idhini ili wanunue korosho. Pia waeleze wataiuza vipi
 
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Kichwa chako umekipa kazi ya bure kubeba minywele na si akili
 
Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Yaaani wewe ndo kichwa huko chamani ccm??
 
Aende tena kusini akawaambie wananchi suala la korosho mpaka bunge lilidhie..kama alivyofanya kipindi serikali ilivyogoma kuipa pesa bodi ya korisho..hapa pia bwege mbunge wa kilwa sijui atasemaje kwa comment hii ya zitto..ngoja tushuhudie unafiki wa wapinzani..mwenzie keshajilipua
 
Wajaribu kwenda kwa wananchi wakawaambie wao wabunge wanataka mpaka bunge likae lijadilii halafu likubali au likatae korosho zao kununuliwa
 
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Kakuchanganya wapi!?
 
Waziri wako Kabudi jana karuka mtego wa Zitto, wewe na Ngosha wako inaonekana mmejaa wazima wazima.
 
Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Huna cha kutumia ili umwelewe Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom