View attachment 928869
Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?
WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA