Zito unatuchanganya sasa

Zito unatuchanganya sasa

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,627
Reaction score
5,702
IMG_4060.JPG

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
 
View attachment 928869

Kama ananunua kwa nia njema hakuna tatizo, anachosema Zitto apeleke mswaada wa marekebisho ya sheria ndiyo maana ya utawala wa sheria
 
Usirudie tena kuwaamin wanasiasa amin majina yao tu bas nenda zako
 
Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
 
Huwezi kumwelewa zitto maana umande ulikutesa sana kipindi icho na kwa kupewa elimu kidogo tu bajeti inayotumika sasa ni ya 17/18 So hakukua na hili swala la ununuzi wa korosho kwa iyo ili liwekwe sawa serikali inatakiwa kwenda kuomba bungeni hizo pesa bil600
 
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Nakwambia ni Pasua kichwa genge hili. Sometimes nafika pahala namshukuru na Mungu kwa kutonifanya kuwa mpinzani.

Hovyo kwelkwel
 
Kaona hatapata cha kuweka mfukoni mwake.. Zitto ni mvizia bahasha za khaki.. huwa ana lingine anapopiga domo lake kila kona
 
Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Maoni haya yananikumbusha Maneno ya Mbunge wa zamani wa Tabora mjini Aden Rage. "MBUMBUMBU FC". Yaani umeshindwa kuelewa maana rahisi kabisa ya Zitto wakati ni wazi hakuna sheria inayoruhusu serikali kufanya biashara ya moja kwa moja kwa sasa kwa sababu ilishafutwa? Au ulitaka atweet kwa maneno 1000 ndo uelewe?
 
Aiseee shida ni Wananchi kufaidika?? Serikali ipo kwaajili ya maslahi ya nani?? Nikweli sheria ila kama kuna ulazima kwa emergency acha anunue tu
 
Kinachomsumbua Zitto sasa hivi hamna tena zile mil 200 200 ambazo zilikuwa zinapitia kwa yule dada aliyesoma naye Ujerumani
 
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
Acheni ujinga kama sheria inaagiza hivyo fuateni
 
Wanasiasa wengi wa Tanzania hawapo kwa ajili ya kusaidia wananchi
 
Siyo kwamba anakuchanganya hapo ndipo akili yake Zito Kabwe ilipofikia, hakuna kitu anajua ni kama vile Tundu Lisu tu wako overrated na wafuasi wao, lkn ukweli ni kwamba ni watupu sana kichwani, ndo maana unaona wanakuchanganya, wao wenyewe hawawelewi hata wanasema nini na wanapinga nini!
Jaribu kuelewa jambo kwanza kabla ya kutoa maoni
 
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungeni. Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?
Mkuu, si ndio utaratibu ulivyo? Basi ingekuwa serikali haisimamiwi na bunge, sasa si ingekuwa inajiamulia kununua chohote tu, hata watu wangenunuliwa? Kwani hujasikia manunuzi ya ndege yalivyopigiwa kelele kuwa hayakufuata utaratibu?
 
Serikali inafanya biashara siku hizi?? Pesa za wavuja jashoo zinaenda kufukiwa!
View attachment 928869

Magufuli aliposema atanunua Korosho kama wafanyabiashara hawatanujua mliona anatania eeh!
Wafanyabiashara wamegoma kununua juzi na jana bungen ukawa unainanga serikali kuwa ilisema itanunua inunue
Leo umeona JPM kasema anaenda kuzinunua umeanza kugeuka mswaada uletwe bungen
Uletwe kufanyaje? Yaan always unaombea serikali ifail? Kwan hii nchi sio yako? Mbona unaiombea mabaya?

Korosho ikinunuliwa hela itaenda kwa nan kama sio wananchi? Badae serikali ikiiuza hela si itarud?

WAPINZAN UKIWASIKILIZA SANA HUTAFANYA VITU VYA MAANA
 
Mkuu, si ndio utaratibu ulivyo? Basi ingekuwa serikali haisimamiwi na bunge, sasa si ingekuwa inajiamulia kununua chohote tu, hata watu wangenunuliwa? Kwani hujasikia manunuzi ya ndege yalivyopigiwa kelele kuwa hayakufuata utaratibu?
Serikali ilishatoa tamko bungeni on how to end huo mgogoro na bunge likaipokea taarifa ya PM...huu sio muda wa blah blah ni vitendo tu
 
Back
Top Bottom