Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,613 Oct 15, 2018 #1 Neno UWOGA kwenye kamusi yake halipo na halitokaa likawepo Attachments Screenshot_20181015-163330.jpg 54.8 KB · Views: 34
Anti-Hacker JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 803 Reaction score 1,245 Oct 15, 2018 #2 Ajapata shoka ya mjerumani tu...ye asubirie
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,929 Reaction score 134,025 Oct 15, 2018 #3 ndo nani huyo ?
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,588 Oct 15, 2018 #4 Comedian katika ubora wake walahi
Jimmie Gatsby JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 3,581 Reaction score 7,288 Oct 15, 2018 #5 ameona hatekenywi ameamua kujitekenya alafu anacheka mwenyewe alafu gafla anaanza kulalamika aaaah mbona mnanitekenya wakati watu wote tulimuona mchana kweupeeee akijitekenya mwenyewe wakuelewa na waelewe siyo lazima tuelewe wote
ameona hatekenywi ameamua kujitekenya alafu anacheka mwenyewe alafu gafla anaanza kulalamika aaaah mbona mnanitekenya wakati watu wote tulimuona mchana kweupeeee akijitekenya mwenyewe wakuelewa na waelewe siyo lazima tuelewe wote
Mtetezi.com JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 3,134 Reaction score 3,613 Oct 15, 2018 Thread starter #6 Ila jamaa namkubali coz sio mtu wa kuyumbishwayumbishwa he do things anavyoviamini ni good kwake
A Allency JF-Expert Member Joined Jan 27, 2011 Posts 16,649 Reaction score 16,930 Oct 15, 2018 #7 Ccm ni adui wa nchii hii
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Oct 15, 2018 #8 miminaogopakutekwasana