ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
zote za kienyejiCHIBUKU CHIMPUMU,
Amesahau kale ka msemo "Mtenda Hutendwa"Kwaiyo Nawewe Kama Mke Wako Akihitaji Mtu Ambaye Mpole Na Mtaratibu Atakucheat Si Ndio Maana YaKe Uliposema "huna vile vitu anavyovitaka yeye!"
Jiandae Bro.
Mwanaume mwenye akili hawezi kujivunia kuharibu ndoa ya mwanaume mwenzie tena iliyomgharimu mambo mengi kuiimarisha.Huyu jamaa ana sifa za kijinga na ni mpuuzi.Heshimu ndoa ya mwenzio.Ngoja unaswe ndio utazijua hizo code vizuri.
In life....never under rate any man as long he is the same man like you.
Laiti ungejua na yeye anatumia code gani usingethubutu kuendelea na huyo Mke wake.
Ni suala la muda tu, hakika utakuja kunaswa tena kirahisi mno wala hutaamini.