Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
..Zero aliulizwa. Baada ya mwezi Septemba unafwata mwezi gani? Akajibu, simpo! Unafata mwezi Sepchege.
..
Dah, kweli ziro TMK dam'dam
Zero aliona watu wanacheza mpira uwanjani, akatafakari kichwani akisema hawa watu wajinga yaani wote hawa wanagombania kucheza mpira mmoja?? Basi akawahesabu then akaenda kuleta mipira kulingana na idadi yao akaitupia uwanjani...