Ziraili wa gizani

Hizi CCTV camera za kawaida zinaweza kumuona mchawi? Je hizo camera zilizotumika hapo zinapatikana huku kwetu?
 
Kupotea Kwa Hawa Binadam Wenzetu Kwa Gafla Tuu

Je Kuna Uwezekano wa Kumrudisha Tena.....??
 
Unanikumbusha ndugu yangu kipenzi alizama na meli kutokea tanga mwaka 2009 mpaka leo hajaonekana, kuikumbuka ile stori umenifanya leo nilie sana
 
Mshana hii story nzuri kwa kujifunza naona kama umeifupisha ila nahisi ilikuwa inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…