Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,910
- 6,507
Kuteka, kutesa na/au kuua raia lawlessly ni dhambi kama dhambi zingine. Kukemea hiyo dhambi siyo kufanya siasa. Sio sawa kuacha kuikemea hii dhambi just because a political bigwig is behind it!Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja tumekwenda kuanzisha Chama chetu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,msijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo lotachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga su aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Sheria ina enda na tafsiri, na pia Uhalali wa Sheria yenyewe. Ikipingana na Katiba hiyo sio Sheria, na wewe kama Mtoto wa Geti Kali unaweza kwenda Kwa Warioba akakuelimisha, jinsi ya kuvuta na kunywa lakini ukabaki ntu Yule yuleZipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo litachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga ai aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Kuna maneno kayatamka mule 'mimi mwana CCM,chama chetu blah blah...'.. akili hana,angeita press nje ya kanisaGwajima hajaingilia siasa alikemea dhambi ya utekaji na uuaji
Dada leo umegoma kabisa kulalaKuna maneno kayatamka mule 'mimi mwana CCM,chama chetu blah blah...'.. akili hana,angeita press nje ya kanisa
Gwajima ni limbukeni,anadhani nguvu aliyonayo kwa misukule yake kanisani anayo pia kwenye medani za siasa,rais siyo wa kushindana nae,utaumiaNi kweli sheria inasema hivyo, lakini ni sababu anaongea jambo ambalo mamlaka haitaki,.
Unadhani angekuwa anasifia juhudi za mama, anasema mama mi5 tena, yesu ameibariki CCM kutawala tanzania, lisu afungwe kabisa, etc
Unadhani wangefungia hilo kanisa!?
Nchi hii ina ushamba mwingi, viongozi wetu ni malimbukeni wa madaraka... Walafai, wabinafsi na sifa nyingi mbovu wanazo.
Tunaongozwa na mijitu ambayo haina sifa ya kuwa viongozi.
Njoo nikusukeDada leo umegoma kabisa kulala
Mimi mwanaume sitaki michezo yenu nyie mabidada wa kizanzibarNjoo nikusuke
Uanaume uutoe wapiMimi mwanaume sitaki michezo yenu nyie mabidada wa kizanzibar
Lakini pia kiongozi ni mbunge, na mbunge ni mwanasiasa. Sijui kwa hapo sheria unasemaje: ubunge wake unaishia wapi, nje ya kanisa au hata ndani ya kanisa?Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo litachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga ai aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Na je aliyeshiriki siasa ni kiongozi au kanisa, au vyote viwili?Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo litachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga ai aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Kuteka, kutesa na/au kuua raia lawlessly ni dhambi kama dhambi zingine. Kukemea hiyo dhambi siyo kufanya siasa. Sio sawa kuacha kuikemea hii dhambi just because a political bigwig is behind it!
Kuna viongozi wa dini wanaendesha national prayer kumuombea Rais. Je, hao nao wanafanya siasa?
Kwa hiyo alivyokuambia jihadhari ukaogopa sana!?Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.
Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa.
And this soft-speaking person alikuwa kiongozi,Waziri wa Mambo ya Ndani mstaafu( Mbara).
Kwa hiyo si kama vile kuna mtu ana ugomvi na Gwajima. Isipokuwa Sheria ndio zinavyosema.
Sasa hapa wapo waumini wengi wanakwenda pale,sijui kama jambo hilo litachukuliwa maanani. Lakini sheria ndio hivyo.
Inaelekea hapa ipo unforeseen circumstance, ambayo hakuna aliyepanga au aliyetarajia,ambayo inaweza kuleta ubishi?
Chama changu cha Buddha kipo,kina watu 200
Wangeisifia wangekamatwa?Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa.