Hakuna zip code ya dar,,tunazip code ya Tanzania kama nchi. Hiyo hapo,,waambie na wenzio.
35091
Sio kweli mkuu! Zip code yetu ni 35091.
hiyo sio zip code ni S L P ya udsm unapotosha umma.
kwani hizo sio? Postcode List
Aha aha aha ahaaaaaaa king'asti itabidi nikusake bhana unitoe ushamba na hapa.....maana dunia hii bila haya mambo daah!!....
Mara ya mwisho uliji update lini kuhusu hizi postcode mpka useme Tz bado tunatumia p.o.box tu?
Angalia hapa http://www.tcra.go.tz/index.php/publication-and-statistics/postcode-list
mi huwa nikijaza +255 kwenye swali au space ya aina hiyo,form huwa haikatai na inaenda. Au labda malaika wa bwana huwa ananisaidia! Ngoja wataalamu waje.
iligoma tena aandike 00255
Hiyo sio Postal Code bali int. Dial codeNa ikigoma hiyo andika 000255 country code ya Tanzania
Wakuu naomba kufahamishwa zip/postal code za dar es salaam,nimekua nikikumbana na kipengele hiki hasa wakati wa kujaza fomu za kimataifa.
Ahsanteni.
Wakuu naomba kufahamishwa zip/postal code za dar es salaam,nimekua nikikumbana na kipengele hiki hasa wakati wa kujaza fomu za kimataifa.
Ahsanteni.
Upo vizuri mkuu. Inaonekana una weledi.zip code inatumika marekani. ..mi nipo uingereza na natumia postcode, huu ni mfumo wa kidigital wa kutambua eneo husika, maeneo ya ulaya yamegawanywa kwa postcode hivyo inawarahisishia watu wa mail na courier kukuletea barua/kifurushi chako mpk mlangoni (kumbuka ulaya na marekani barua unaletewa nyumbani, na kila nyumba ina namba na pia kila mtaa una jina. ....ila mitaa na namba huwa zinajirudia lkn postcode ya eneo husika huwa haijirudii sehemu nyingine).....Tanzania hatuna mfumo huo na bado tunatumia p.o box