teac kapex JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 470 Reaction score 137 May 16, 2018 #1 Naomba kujua zip code ya Tanzania.
Ibrahim augustine JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 428 Reaction score 578 May 16, 2018 #2 teac kapex said: Naomba kujua zip code ya Tanzania. Click to expand... Sasa kichwa cha habari unaandika zipcode unadhani watu wataingia kwenye Uzi wako wakusaidie nenda google
teac kapex said: Naomba kujua zip code ya Tanzania. Click to expand... Sasa kichwa cha habari unaandika zipcode unadhani watu wataingia kwenye Uzi wako wakusaidie nenda google
zeebaba Senior Member Joined Apr 17, 2018 Posts 180 Reaction score 212 May 16, 2018 #3 kwa msaada tu hizi ndio zinatumika kwa sasa kutoka TCRA https://tcra.go.tz/images/documents/postcode/Combined-Postcode-List_Final.pdf
kwa msaada tu hizi ndio zinatumika kwa sasa kutoka TCRA https://tcra.go.tz/images/documents/postcode/Combined-Postcode-List_Final.pdf
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,278 Reaction score 44,414 May 16, 2018 #4 Tanzania hatuna zip code tuna postal code tu. ukiona eneo wanalazimisha zip code ujue ni site iliyobase huko Marekani.
Tanzania hatuna zip code tuna postal code tu. ukiona eneo wanalazimisha zip code ujue ni site iliyobase huko Marekani.
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,823 Reaction score 113,178 May 16, 2018 #5 teac kapex said: Naomba kujua zip code ya Tanzania. Click to expand... Tumia country code ambayo ni +255
teac kapex said: Naomba kujua zip code ya Tanzania. Click to expand... Tumia country code ambayo ni +255