Zingatia hili

Ogopa mazingira kama baa au kilabuni............itakuwa imeandaliwa na shetani

Hahaha sasa kipenzi, hao wa bar na kilabuni si wataoana wao...kwa maana hiyo hata tabia walau zitakuwa zaendana!
 
Hivi kuna mtu anajikuta tu kapewa mke au mume bila initiatives zozote?
Lazima ziwepo...hawezi kuja tu from nowhere, shem kwani mtu anaota then akiamka anakuta mke/mume kashushwa!!
Lazima kuwe na juhudi na vigezo vya kumpata
 
Hapo umenena shem...mi nilijua ni kama vile kusubiria embe chini ya muembe, upepo ukivuma tu kitu hicho chini...

Hakuna mambo ya embe dodo kulala mchangani wala nini
 
Suala la kuolewa au kuoa linakuwa kama mtihani,tena matokeo yake yanakuwa kama ya fm4 mwaka huu,5% ndo wanafaulu 95% wanafeli,linakosesha raha wale ambao bado hatujaufanya hii pepa.
 
Nipo hapa douta...naona dada mkubwa leo katukumbuka eenh...

Lots of luv to her!

Lots of love to u daddy from big douta! Mama hajambo?mliniudhi tu mlipokosa kininunulia zawadi ya pasaka
 
Bwana yupi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…