O Ommylady Member Joined Dec 3, 2013 Posts 23 Reaction score 4 Jan 30, 2014 #1 Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa.
Biashara2000 JF-Expert Member Joined Nov 9, 2013 Posts 624 Reaction score 548 May 19, 2015 #2 Ommylady said: Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa. Click to expand... Kwa sasa ipo moja makomgo juu inauwezo wa kuzalisha gunia 2 kwa siku. ni ndogo ya mkono bei ni laki na ishirini. nipigie uje uione 0758 308193
Ommylady said: Naomba kujua zinakopatikana mashine za kutengenezea mkaa wa kisasa. Click to expand... Kwa sasa ipo moja makomgo juu inauwezo wa kuzalisha gunia 2 kwa siku. ni ndogo ya mkono bei ni laki na ishirini. nipigie uje uione 0758 308193
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 May 24, 2015 #3 mkaa wa kisasa ndio upoje huo?