Zinamtosha kweli huyu?

Bila shaka aliosha vizuri sana kabla ya kuanza kuweka chumvi lakini nina wasi itachukua muda sana kwa siku za mwanzoni chakula kilikuwa kinanuka losheni ama shampoo
 
Labda anadhani ni Kimbo imerudi kwa jina la Vaselline
 
Ni kweli hazimtoshi lakini ukikosa sukari ni chuvi kwa mbali
 
kajipaka ngozi weeeee kaona apodoe na utumbo kabisa.
 
Hahahaa!! Huyo kahisi utumbo umepauka anataka aung'arishe na lotion
 
Kalisikia lile tangazo kuwa lotion ya Vaseline inaongeza vitamin E, na mume wake anaupungufu wa vitamin E,kaamua amtilie kabisa kwenye msosi.lol
 
Kalisikia lile tangazo kuwa lotion ya Vaseline inaongeza vitamin E, na mume wake anaupungufu wa vitamin E,kaamua amtilie kabisa kwenye msosi.lol
MPUNGA nimeipenda bure post yako hahahaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…