Zinaa katika uislamu....


Now am waiting....🙂
 
Katika dini ya kiislam, utumwa unakubalika? Kama hapana, kwann bas Quran itoe maelekezo ya kumtendea kinyume "mtu huru" ambaye unaishi nae kwa malengo tofauti?
Hapo nilipo-quote panaongelewa watu ambao si dhambi kufanya nao ngono. Mke (kwa maana wa ndoa) na mtumwa unaemmiliki kihalali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahufa kama utapata nafasi naomba unipe darsa kidogo kuhusu hao ambao wanamilikiwa kwa mkono wa kuume.

Maendeleo hayana chama
 
Mkuu nyama ya nguruwe umeruhusiwa endapo tu njaa yako inaweza kupelekea kupata kifo (Hapa dini imethamini uhai ndio maana ikaruhusu kula haramu ili usife kwa sababu ya njaa).
Hapo unapotaka kuhalalisha mutaa kwa mazingira hayo hayo ya ruhusa ya dharura ya kula kiti moto, je ushawahi kusikia mtu amekufa kwa sababu tu nyege zimembana?


Maendeleo hayana chama
 
Mbona umetoka nje ya mada?! Nimekuomba unipe full verse ya hii uliyoita Quran 4:24 na kudai inasema:
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).

Hiyo uliyoweka haizungumzii na wala haina uhusiano na mada yako ya Mut'ah marriage au aya niliyokuuliza! Lakini kwavile lengo lako ni issue ya Uislamu na ngono na watumwa, ngoja nikusaidie!

Awali ya yote, Muhammad alishushiwa Quran wakati hao watumwa waemeenea sehemu nyingi tu duniani, na ndio maana, Kutoka 21:20-21 inasema:
Mtu akimpiga mtumwa wake wa kiume au wa kike kwa fimbo na kumwua papo hapo, ni lazima aadhibiwe. Lakini mtumwa huyo akibaki hai siku moja au mbili, bwana wake hataadhibiwa, kwani huyo alikuwa ni mali yake.
Kama ni kushushwa, hiyo Kutoka (Exodus) ilishushwa hata kabla ya Babu ya babu ya babu ya babu yake Mume Muhammada hajazaliwa!!

Hiyo ni kuonesha haya masuala ya watumwa yalikuwepo na yalishadadiwa vile vile na wateule wa Mungu!!!

Na wala usidhani hayo ni ya zama za Taurati na Nabii Musa peke yake, manake hata Mtume Paulo, kupitia Wakolosai 3:22-25 anatuambia: Watumwa hao zama hizo za Kristo!!!!

Na hayo yakaendelea hata zama za Muhammad, at least kwa wale wanaomuamini Muhammad na ndipo hapo unapokutana na aya kama hiyo ya 23:5-6!!

Na ilivyo ni kwamba, Quran haikushuka mara moja bali ilishuka kidogo kidogo kwa miaka 23, na ndio maana wakati unaona hiyo aya hapo juu inatoa ruhusa ya Master kumwingilia Mtumwa wake, ukirudi kwenye ile sura niliyokuambia awali, yaani Q 4:25 inasema
Na miongoni mwenu asiyeweza kupata mali ya kuoa wanawake waungwana, waaminio, basi (aoe) katika wajakazi waaminio iliyowamiliki mikono yenu ya kuume, na Mwenyezi Mungu Anajua sana imani yenu...
Na English version yake inasema:
And whoever among you cannot [find] the means to marry free, believing women, then [he may marry] from those whom your right hands possess of believing slave girls. And Allah is most knowing about your faith.

Na kadri Quran ilivyokuwa inashuka, ikafika hapa kupitia Quran 24:32-33: Kwamba, watumwa wale wale ambao hawakuwa na haki yoyote, hatimae Quran inashusha aya kwa kuwataka Masters wawaoze watumwa wao, na kwa wale watumwa ambao hawatadondokewa na ngekewa hii ya ndoa, basi wa-abstain!

Na ikiwa miongoni mwa hao watumwa, watatokea wengine wa kutaka kuwa huru (wanaotaka hati), basi mkiona kwa wema waliowafanyia, wapeni hati (mkataba wa kuachiwa huru)!

Kwahiyo funzo lingine hapo, unaposoma Quran ni lazima pia ufahamu Quran haikushuka mara moja! Na usipofahamu aya ipi ilishuka wakati gani na kwa dhima ipi, basi mtu ataishia kupotosha tu! Na ukweli ni kwamba, Waislamu wengi huwa hatufahamu hili na ndio maana inakuwa rahisi sana ku-brainwash watu kiasi cha kukubali kwenda kujilipua na kuua baada ya kushuhudiwa Aya za kwenye Quran bila kufahamu aya husika ilishuka lini na kwa madhumuni gani!!!

Hatulifahamu kwa sababu majority ya Waislamu Quran hatuijui, na wanaoijua wameipitia juu juu tu kwa kumaliza Juzuu mbili tatu lakini na hata wale waliokung'uta Juzuu zote 30, majority hawajasoma Theology!

Whether you're a Muslim or Christian, usiposoma theology utaishia kukariri tu maandiko bila kufahamu dhima ya kile neno!!! Mkristo atadhani Bible anaijua, kumbe haijui sawa sawa na hali kadhalika Mwislamu atadhani Quran anaijua kumbe anachojua ni kuisoma/kuikariri tu na kuitafsiri!
 

Strange kuwa mpaka sasa hujaiona article inayofafanua hiyo aya 4:23!
 
Utumwa unakubalika. Wakati wa mtume ni mtumwa (tena mweusi) ndie anatoa adhana.
Na hata kwenye Ukristo, utumwa unakubalika! Tatizo lako, wewe umekuja hapa kukashifu wakati hata Bible HUIJUI Wakolosai 3:22-24
 
Nimekuuliza haya kwasababu

Nilikupa Dalili,juu ya Uharamu wa Mut-a
Kisha
nikakupa matumizi ya neno

أجورهن
Kutoka katika Kamusi za Kiarabu

lkn ww
umeshika msimamo na kutaka kulazimisha jamii ikubaliane na matashi yako!!!!

Hapa ndio ninapokushangaa Chief
samahani lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hata kwenye Ukristo, utumwa unakubalika! Tatizo lako, wewe umekuja hapa kukashifu wakati hata Bible HUIJUIWakolosai 3:22-24

Hakuna mahali nimeandika ulichonituhumu kukiandika. Nenda kasome ile post #137 urudi kunielimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…