masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Ahahahahaaaahahhahhaaha Mungu wako kavuliwa nguo na kuachwa na kachupi , na kumtemea mate kama choo kinachonuka, kaka Mungu wa kweli haitaji huo upuuzi ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahahUmeona kuvuliwa nguo ndio issue ya kuogopa!; kuliko kushahadia KWAMBA ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI WA KUMFAHAMISHA HAPA NOMA NA HAPA GADO!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio jibu wewe unachotakiwa ni kunijulisha tu 945 au 845 basi , kinachofata sio kazi yako ahahahahaahahahha
Kwa hiyo quran iliyo kujulisha wote wamepatia huiamuni? Au ni ile...Hili sio jibu wewe unachotakiwa ni kunijulisha tu 945 au 845 basi , kinachofata sio kazi yako ahahahahaahahahha
Sema Mungu wetu! Kuanzia allah muhammad, masudi, mgen...au na allah humuamini?!Ahahahahaaaahahhahhaaha Mungu wako kavuliwa nguo na kuachwa na kachupi , na kumtemea mate kama choo kinachonuka, kaka Mungu wa kweli haitaji huo upuuzi ahahahhahaahaaa ahahhaahhaahahahah
Mwingira ndio nabii
Naye ni mtu wa harakati tu....hana tofauti abisa na Mohammad. Si unakumbuka Mwingira alimla uroda mke wa mtu, na Mohammad alikuwa anafanya haya pia, soma tu Qur'an utayaona haya.
Mdomo huwa haulipiwi VAT
unahaki ya kusema utakavyo Chief
Ila sisi Waislam
Hatuna haki ya kusema tutakavyo,tumewekewa Sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma Quran wala sijayaona ebu thibitisha pia wapi Mwingira alikula mke wa mtu?Naye ni mtu wa harakati tu....hana tofauti abisa na Mohammad. Si unakumbuka Mwingira alimla uroda mke wa mtu, na Mohammad alikuwa anafanya haya pia, soma tu Qur'an utayaona haya.
Wewe ndio miongoni mwa walio dhulumu , au ujijui kuna dhuluma gani kama kumfanya Mungu dhariri wakupigwa Makofi na kutemewa mate na wahuni? mnataka muambiwe kwa lugha gani ili muelewe kuwa Mungu wa kweli haitaji huu upuuzi wa kufanywa takataka na viumbe wake mwenyewe ili kuwaokoa viumbe hao hao , hii inasikitisha mnoSema Mungu wetu! Kuanzia allah muhammad, masudi, mgen...au na allah humuamini?! View attachment 1012410
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoaKwa hiyo quran iliyo kujulisha wote wamepatia huiamuni? Au ni ile...View attachment 1012392
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa
Bado unambishia Allah!!hhhhhhhhhh...kufuru nyingine Hata ibilisi hawezi kuzikurubia! Nikupe mfano Huu inshalah unaweza kuelewa!; vijana wa baba mmoja wanae walieudi Vitabu; ktk kumsimulia baba yao, mmoja akawa anasimulia jinsi askari wa miguu walivyo kuwa wanalipuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini alipokuwa wana-advance to contact! Mwingine alimhadidhia jinsi askari mmoja alipo lipua kifaru kwa kutumia rocket propelled grenade! Kutokana na simulizi hizo napata Maudhui Vita HAKIKA ILIKUWEPO! Ni msukule wa kukariri tu ndie ndie ATAKAE sema hao vijana ni waongo mbona hawna mlingano ktk simulizi yao!Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa
Huoni kwamba kuinua mdomo tu na Kutamka ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI ni kudhalilisha UWEZO, UKUU, NA MAAJABU YA MUNGU NA KUMFANANISHA NA BABU YAKO AMBAYE HANA UWEZO? walahi bilahi watalahi usipo OMBA TOBA NI KWA KHASARA YAKO!Wewe ndio miongoni mwa walio dhulumu , au ujijui kuna dhuluma gani kama kumfanya Mungu dhariri wakupigwa Makofi na kutemewa mate na wahuni? mnataka muambiwe kwa lugha gani ili muelewe kuwa Mungu wa kweli haitaji huu upuuzi wa kufanywa takataka na viumbe wake mwenyewe ili kuwaokoa viumbe hao hao , hii inasikitisha mno
Sasa kama anajua Hesabu hapo kakosea nini?Bwana anajua HESABU hawezi kumwambia huyu idadi ilikua 945 halafu aje amwambie mwengine idadi 845 kaka bwana sio Muongo , waongo ni waandishi sasa tuambie kati hao nani aliandika idadi sahihi kutoka kwa bwana ? wacha kurukaruka janja janja haiwezi kukuokoa
Mungu ameshasema " wamekufuru waliosema masihi mwana wa maryamu ni Mungu" ndio maana unastaajabisha kweli kweli kuja hapa na kusema Mungu kapigwa Makofi na kutemewa mate, ata huyo Yesu ambaye alikua akila na kunya kama wewe Allah amepinga jambo hilo kuwa akufanyiwa la kufanywa kama mdoli ahahaahahhhhauahqhahhaHuoni kwamba kuinua mdomo tu na Kutamka ATAKALO MUNGU HAWEZI NA ANAE MSHAURI ni kudhalilisha UWEZO, UKUU, NA MAAJABU YA MUNGU NA KUMFANANISHA NA BABU YAKO AMBAYE HANA UWEZO? walahi bilahi watalahi usipo OMBA TOBA NI KWA KHASARA YAKO!
Sent using Jamii Forums mobile app
945=845? hizi HESABU umesoma wapi ?ahahahaahhhahhaha ahahahahaahahahha
Allah ndio alimiambia kuwa 945=845? ahahahaahhhahhaha uongo wa waandishi wenu na janja janja yao unamsingizia Allah ahahahaahBado unambishia Allah!!hhhhhhhhhh...kufuru nyingine Hata ibilisi hawezi kuzikurubia! Nikupe mfano Huu inshalah unaweza kuelewa!; vijana wa baba mmoja wanae walieudi Vitabu; ktk kumsimulia baba yao, mmoja akawa anasimulia jinsi askari wa miguu walivyo kuwa wanalipuliwa na mabomu ya kutegwa ardhini alipokuwa wana-advance to contact! Mwingine alimhadidhia jinsi askari mmoja alipo lipua kifaru kwa kutumia rocket propelled grenade! Kutokana na simulizi hizo napata Maudhui Vita HAKIKA ILIKUWEPO! Ni msukule wa kukariri tu ndie ndie ATAKAE sema hao vijana ni waongo mbona hawna mlingano ktk simulizi yao!View attachment 1013118
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu yangu mda mwengine tunamuonyesha huyu bwana mdogo tunaweza kupiga miguu yote ikibidiKaka yangu Masoud
Kuna wakati kunyamaa,ni bora sana kuliko kunena
Hakuna haja ya kuendelea mabishano
Maana wapo baadhi,ni wepesi sana kukashifu au kubeza au kutukana,
Kisha sisi tutabeba dhambi,kwa ajili yao
Kwann?!
Kwasababu hawajui walisemalo au walitendalo
Sent using Jamii Forums mobile app