Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,624
Lakini huna hiari ya kusema (kwa mfano), kuoa mke zaidi ya mmoja na kufanya ndoa ya muda mfupi ni vibaya.
Hii ni MahariHii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Cjafahamu mkuu.Safuha
Ilikuwa inatosha Chief,kutoa dalili,haijalishi aya au hadithi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vibaya na hiari hiyo ninayo kwa sababu hilo jambo lilishakatazwa tayari na Mtume wa Allah kwa maana lilikuwepo kisha akalikataza.
Sasa sio kwamba sina hiari tu,bali ni lazima kusema kwamba hilo jambo limekatazwa na mtume na hakuruhusu mpaka kufa kwake.
Sikatai kwamba liliruhusiwa na mwenyewe mtumee,lakini akalikataza baadaye ikawa haramu moja kwa moja,kama ambavyo ilikatazwa pombe na vitu mfano wa hivyo.
Kosa langu liko wapi?
Hii ni Mahari
فَانْكِحُوهُنَّ بِإِذْنِ أَهْلِهِنَّ وَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ مُحْصَنَاتٍ غَيْرَ مُسَافِحَاتٍ وَلَا مُتَّخِذَاتِ أَخْدَانٍ
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakusudia hivyo ChiefAcha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?
Allah anasemaHii ni Mahari
فَانْكِحُوهُنَّ بِإِذْنِ أَهْلِهِنَّ وَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ مُحْصَنَاتٍ غَيْرَ مُسَافِحَاتٍ وَلَا مُتَّخِذَاتِ أَخْدَانٍ
Sent using Jamii Forums mobile app
Jii aya imeanzia ya 23 ambayo imetaja mfululizo wa wanawake ambao ni haramu kwaoaa.Hii hapa;
'So those of them [women] whom you enjoy, give to them their appointed wages' (4:24).
Sijakusudia hivyo Chief
aya uliyoitoa,ni jambo la ndoa Kisheria,na hicho unachompa Mke,ni Mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndugu mbona kichwa cha habari na unachojadili ndani ni tofauti kabisa au wewe ulikua una lengo gani.Acha hizo Mkuu; mtu akienda Corner Bar akamnunua mwanamke itaitwa mahari?
Neno moja,linaweza kutoa maana zaidi ya moja ChiefKuna neno "kujifurahisha" na "mshahara". Hayo maneno yanafaa yakitumika kwa context ya nikah mut'ah na musta'jara. Katu haiwezekeni ikawa mahari.
۞ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُم مَّا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَن تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُم مُّحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُم بِهِ مِن بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا
(AN-NISAAI - 24)
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.Jii aya imeanzia ya 23 ambayo imetaja mfululizo wa wanawake ambao ni haramu kwaoaa.
Ikatajaaa kisha hapo ndo ikamalizia "NA WANAWAKE WENYE WAUME.."yaani na hao wanawake wenye waume wanaingia katika ambao wameharamishwa kuwaoa katika ile aya iliyotangulia aya ya 23
Amabyo ni hii apa
حُرِّمَتْ عَلَيْكُمْ أُمَّهَاتُكُمْ وَبَنَاتُكُمْ وَأَخَوَاتُكُمْ وَعَمَّاتُكُمْ وَخَالَاتُكُمْ وَبَنَاتُ الْأَخِ وَبَنَاتُ الْأُخْتِ وَأُمَّهَاتُكُمُ اللَّاتِي أَرْضَعْنَكُمْ وَأَخَوَاتُكُم مِّنَ الرَّضَاعَةِ وَأُمَّهَاتُ نِسَائِكُمْ وَرَبَائِبُكُمُ اللَّاتِي فِي حُجُورِكُم مِّن نِّسَائِكُمُ اللَّاتِي دَخَلْتُم بِهِنَّ فَإِن لَّمْ تَكُونُوا دَخَلْتُم بِهِنَّ فَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ وَحَلَائِلُ أَبْنَائِكُمُ الَّذِينَ مِنْ أَصْلَابِكُمْ وَأَن تَجْمَعُوا بَيْنَ الْأُخْتَيْنِ إِلَّا مَا قَدْ سَلَفَ ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ غَفُورًا رَّحِيمًا
(AN-NISAAI - 23)
Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na khaalati zenu, na binti wa ndugu mume, na binti wa dada, na mama zenu walio kunyonyesheni, na dada zenu kwa kunyonya, na mama wa wake zenu, na watoto wenu wa kambo walio katika ulinzi wenu walio zaliwa na wake zenu mlio waingilia. Ikiwa hamkuwaingilia basi hapana lawama juu yenu. (Pia mmeharimishwa) wake wa watoto wenu walio toka katika migongo yenu. Na kuwaoa pamoja dada wawili isipo kuwa yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Haya ndigu hiyo mutaa yako iko wapi hapo?
Haina haja ChiefJapo ni maelezo marefu lakini naomba usome hapa hapa urudi unipe jawabu kama aya hiyo haikusudii nikah mut'ah.
The Four Pillars Of Mut'a
Sasa ndugu mbona kichwa cha habari na unachojadili ndani ni tofauti kabisa au wewe ulikua una lengo gani.
Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Tazama aya vzr
utakuta tofauti kubwa baina ya Mut-aa na Ndoa Sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
NaaamKwa mujibu wa maandiko zote ni ndoa.