2po msibani tunaomboleza, magazeti tunasoma yenye habari a msiba na zaidi yaliyoandika fikra na mitazamo ya mpiganaji wa watu Regia Mtema..kalaleni majira..Zittto ongea toka moyoni maana nakumbuka maneno yako kwa wapiga kura wako wakati ulipoenda kupomba kura za ubunge.
Uchaguzi utafanyika 2015. Kwa ssa maalim ni makamo wa kwanza wa Rais wa Znz kwenye SUK. Vipi Padre atagombea?
Natoa wito wanaChadema wote kususia gazeti hili la Majira-CCM lisilo na chembe ya ubinadamu kwa kifo cha mwenzetu.

Zitto Kabwe
Ona Watanzania na baadhi ya vyombo vya habari. CHADEMA imepata msiba mkubwa, imefiwa na Mwanachama, Mbunge, Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Kivuli wa Kazi na Ajira. Lakini Gazeti la Majira linabeba habari ya kwanza 'Zimwi la kugombea Urais CHADEMA'! Hata staha ya msiba watu wanakosa. Nimeshangazwa sana na gazeti la Majira kuumbua zimwi lisilokuwepo. Sigombei Urais 2015. Nitamwunga mkono mgombea wa CHADEMA
https://www.facebook.com/zittokabwe
Mkuu Molemo hili nalo gazeti la kusoma? Mara ya mwisho nililinua miaka 4 iliyopita nilipoambiwa jina langu lipo humo ili kujiunga na Chuo kikuu
hivi umeshindwa kuzipumzisha chuki zako kwa mda huu watu wanapoomboleza?Uchaguzi utafanyika 2015. Kwa ssa maalim ni makamo wa kwanza wa Rais wa Znz kwenye SUK. Vipi Padre atagombea?
Tunasuburi hiyo mechi ya maalim al madrassa vs. padre lol!Uchaguzi utafanyika 2015. Kwa ssa maalim ni makamo wa kwanza wa Rais wa Znz kwenye SUK. Vipi Padre atagombea?
Uchaguzi utafanyika 2015. Kwa ssa maalim ni makamo wa kwanza wa Rais wa Znz kwenye SUK. Vipi Padre atagombea?