ZIMBABWE: Social Media has been shutdown amid serious protests

ZIMBABWE: Social Media has been shutdown amid serious protests

this is a new form of colonialism by a handful of elite and government leaders in the Africa Countries
 
Hili linaweza kutokea wakati wowote ule, si unaona watu wameshaanza kukamatwa FB kwa kumtukana!? Wanavuta muda tu wanaweza kabisa kuamua kufunga kila kitu. Madikteta ndivyo walivyo!!!

Ngoja mimi niseme kinyume chake nisijepelekwa mahakamani na kudaiwa fedha ya Corolla mchana kweupe.

Utawala wa awamu ya tano ni mzuri sana,umetoa uhuru wa habari hadi raha.
Vyama vya upinzani vimepewa fursa ya kuwasiliana na wananchi nje ya Bunge na ndani ya Bunge.

Dr Magufuli hana ugomvi na mtu wala utawala wake hauminyi uhuru wa kukutana.

Ni hayo tu wandugu.
 
Na Serikali hii nzuri imeamua kwamba kura inayokuja ya maoni kuhusu katiba mpya itatumia rasimu ya Warioba na siyo ile rasimu ya MACCM iliyochakachuliwa. Pia Serikali hii ya kupambana na mafisadi imeamua kuwafukuza Bungeni Wabunge wa CCM waliopokea rushwa za pesa za wizi wa escrow hivyo kuanzia leo hii Chenge, Tibaijuka na Ngeleja si Wabunge tena na wamevuliwa uanachama wa CCM. Pia TAKUKURU imepewa siku 60 tu kuhakikisha watuhumiwa wote wa Lugumi, escrow, Wakwapuzi wa UDA, Pride, nyumba za Serikali na waliohusika na ununuzi wa boti lililooza kwa shilingi bilioni 8 wanakamatwa mara moja na kuwekwa ndani hadi kesi zao zitakapomalizika.

Pia Serikali hii nzuri imesema kwamba mara tu baada ya kupata katiba mpya kutakuwa na process ya kupata Tume huru ya uchaguzi.

Serikali pia imetoa onyo kwa polisi kuacha kuwanyanyasa kwa namna yoyote ile viongozi wote wa UKAWA nchini na wafuasi wao na pia wako huru kukutana na kuandamana mahali popote pale nchini bila ya ruhusa ya polisi.

Haleluya Bwana asifiwe what a beautiful country!! our beautiful country is BACK from the brink.

Ngoja mimi niseme kinyume chake nisijepelekwa mahakamani na kudaiwa fedha ya Corolla mchana kweupe.

Utawala wa awamu ya tano ni mzuri sana,umetoa uhuru wa habari hadi raha.
Vyama vya upinzani vimepewa fursa ya kuwasiliana na wananchi nje ya Bunge na ndani ya Bunge.

Dr Magufuli hana ugomvi na mtu wala utawala wake hauminyi uhuru wa kukutana.

Ni hayo tu wandugu.
 
  • Thanks
Reactions: kui

Na Serikali hii nzuri...
Pia Serikali hii nzuri imesema kwamba mara tu baada ya kupata katiba mpya kutakuwa na process ya kupata Tume huru ya uchaguzi.

Serikali pia imetoa onyo kwa polisi kuacha kuwanyanyasa kwa namna yoyote ile viongozi wote wa UKAWA nchini na wafuasi wao na pia wako huru kukutana na kuandamana mahali popote pale nchini bila ya ruhusa ya polisi.

Haleluya Bwana asifiwe what a beautiful country!! our beautiful country is BACK from the brink.

Hahaha!, you guys!

Kwenye matukio vituko Africa mie ndo huwa nasema Africa nakupenda kwa moyo wote! 🙂
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yes kui we all love our beautiful continent Mama Africa. God Bless Africa

Hahaha!, you guys!

Kwenye matukio vituko Africa mie ndo huwa nasema Africa nakupenda kwa moyo wote! 🙂
 
  • Thanks
Reactions: kui

Reports from Zimbabwe suggests that the government has shut down social media amid the ongoing strike and mass stay away from duty by a section of civil servants.

According to an oppostion senator and former Minister of Education, Sport, Arts and Culture, David Coltart; the Robert Mugabe regime is seeking to stifle the truth from people.

‘‘The regime can try to stifle the truth from getting out but people don’t need whatsapp to see for themselves that Zimbabwe has been shut down,’‘ he said in a tweet.

Source: Africa News

Hivi, kwa mazingira ya kawaida, ni kweli Demokrasia inaletwa na maendeleo ya Waafrika wenyewe?
Nadhani si vizuri sana kuitokomeza asili yetu ya Kichifu...maana ndio namna pekee iliyobakia ya Wazungu kutusambaratisha..na wanapotukandamiza na ushoga..ndo kabisaa tunapotea na kuangamia..tunakuwa watumwa wa kisasa bila ya pingu wala kengele.
historia inaanza kujirudia, tushamalizana na scramble and partition, tunaanza kukabiliana na resistance mamboleo, baina ya wenyewe kwa wenyewe.
#ShameOnUs
 
We have pretty interesting leaders in Africa....preaching to work for the people while in principle majority of them are serving and pursuing their own interests and personal agendas. Tunasafari ndefu bado....shame !!!

its not just Africa its the nature of Government and the monopoly of power that attracts evil people. As long as people will buy into the idea that they need Government to live then there will always be political parasites parading as the saviors.
 
Back
Top Bottom