Zimbabwe deal agreed....Power-Sharing

Kwa kiburi cha huyu jongwe, sijui kama makubaliano haya yatadumu

Nilikua naangalia hiyo ceremony ya kusign hiyo power sharing deal muda mfupi uliopita lakini kwa kweli ni wazi kabisa kwamba hii partnership itakuwa ngumu kui mantain. Wakati Tsvangrai anaongea alimrefer Mugabe kama president lakini kwenye speech ya Mugabe hakumita Prime Minister hata mara moja!
Speech ya Mugabe ilikuwa ni huge dissapointment, alikuwa kama anapiga story tu, ilikuwa hata haijaandikwa mahali! Alitumia muda mrefu kuongelea jinsi ambavyo hii deal ya kushare power ilifikiwa, akaongelea pia ukoloni and its struggle, na nilishangazwa na jinsi alivyotumia muda mrefu kuwashukuru viongozi wengine wa nchi za kiafrika as if to say " thanks pals, you have saved my skin'! Hakugusa hata mara moja kwenye current issues zinazoikabili Zimbabwe kama alivyofanya mpinzani wake Tsvngrai. Nadhani ingekuwa ni opportunity kubwa kwa Mugabe ku apologise kwa mauaji yote yaliyotokea kipindi cha uchaguzi na kuwataka wananchi wasahau waliyopita na kusameheana.
 
Lets wait for the aftermath African Elections..unajua kila chama ambacho kitashindwa uchanguzi kwa margin ndogo wata claim 'sharing of powers'..point of reference 'Kenya na Zimbabwe''..!

Hope watasaidiana ku-rebuild Zimbabwe,thats great then.
 
Back
Top Bottom