marekani mwiziUpuuzi mtupu, ingekuwa ni hivyo Marekani wasingepiga hatua katika maendeleo na Uganda ingekuwa na maendeleo kuliko nchi yoyote duniani.
Uganda sio mwizi??marekani mwizi
scale ya wizi unatofautiana maana hata fisadi ni mwizi kama alivyo mwizi wa wallet kituo cha daladalaUganda sio mwizi??
Rwanda sio mwizi?
Uroho wa madaraka tu hapo.Upuuzi mtupu, ingekuwa ni hivyo Marekani wasingepiga hatua katika maendeleo na Uganda ingekuwa na maendeleo kuliko nchi yoyote duniani.
Wao wanawezaje kuiba kwa scale kubwa ikiwa kila baada ya miaka minne wanafanya uchaguzi wa Rais na uchaguzi wa bunge unafanyika kila baada ya miaka miwili??scale ya wizi unatofautiana maana hata fisadi ni mwizi kama alivyo mwizi wa wallet kituo cha daladala
sasa mkuu si wanaibia mataifa mengine?Wao wanawezaje kuiba kwa scale kubwa ikiwa kila baada ya miaka minne wanafanya uchaguzi wa Rais na uchaguzi wa bunge unafanyika kila baada ya miaka miwili??
Tena!President Emmerson Mnangagwa on Monday, 10 February 2026, chaired the first Cabinet meeting of the year, where ministers approved the Constitutional Amendment No. 3 Bill, 2026, presented by Justice Minister Ziyambi Ziyambi.View attachment 3542394
The Bill proposes extending the term of office for the President and Parliament from five years to seven years. Government says the move will reduce frequent elections, improve policy continuity, and support long-term national development.
The Bill will now be taken to Parliament for debate.
Hata hapa Tanzania tufanye tuu hivyo hakuna sababu ya Samia kutoka madarakani Kwa SasaPresident Emmerson Mnangagwa on Monday, 10 February 2026, chaired the first Cabinet meeting of the year, where ministers approved the Constitutional Amendment No. 3 Bill, 2026, presented by Justice Minister Ziyambi Ziyambi.View attachment 3542394
The Bill proposes extending the term of office for the President and Parliament from five years to seven years. Government says the move will reduce frequent elections, improve policy continuity, and support long-term national development.
The Bill will now be taken to Parliament for debate.
hapa afrika maraisi waliopiga 30+ yrs wamefanya nini cha maana?Hata hapa Tanzania tufanye tuu hivyo hakuna sababu ya Samia kutoka madarakani Kwa Sasa
Mkiweza kukubaliana huko ndani ya CCM mnaweza kufanya hivyo, hakuna wa kuwazuia, bunge ni la chama kimoja na liko kama rubber stamp ya CCM tu. Unapoingiza Tanzania nzima ndipo unakosea, labda urejee tu October 29 kama somo la jinsi gani mama yenu hakubaliki na majority.Hata hapa Tanzania tufanye tuu hivyo hakuna sababu ya Samia kutoka madarakani Kwa Sasa
Kwa moto aliokutana nao October, hawezi kujaribu kuongeza hata sikuAfrika bahati mbaya.. Next is TZ . God forbid ππΏππΏππΏππΏ
PumbavuHata hapa Tanzania tufanye tuu hivyo hakuna sababu ya Samia kutoka madarakani Kwa Sasa