Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,252
- 50,053
Kabisa.Upuuzi mtupu, ingekuwa ni hivyo Marekani wasingepiga hatua katika maendeleo na Uganda ingekuwa na maendeleo kuliko nchi yoyote duniani.
Hawa ni wapenda madaraka tu kama yule Pan-Africanist wa mchongo kule Burkina Faso.