Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo;Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi kuyasahau.Kila nikipita wageuza shingo utadhani feni Bwana ooh Bwana.