ZILEE KELELE ZA MFUMO WA ELIMU NDIO MATUNDA YAKE

Jibala

JF-Expert Member
Jun 13, 2010
614
558
Zilikuepo kelele nyingi siku za nyuma zilihusu jinsi wanafunzi walivokua wanapasishwa kwa mtindo usio na mpangilio au wa kupendeleana. Ikiwa ni hivo yayoendelea leo UDOM na kwengineko haya ndio matunda yake. Divsion 4 chuo?
 
Back
Top Bottom