Zile stori za kupendwa na 'jini' ziliishia wapi?

Zile stori za kupendwa na 'jini' ziliishia wapi?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,416
Reaction score
29,401
Haya maisha haya.!

Nilienda Dathramu kwa bashasha tele ili tu kutesti zari langu, miaka yote niliyokaa huko holla! Zunguka sana maeneo ya fukwe na mapango pendwa, lakini wapi![emoji2377]

Kuna mtu ziliwahi kumtokea hizi mambo au zilikuwa porojo tu?

Ncha Kali.[emoji1614][emoji276]
 
kamba
20210807_140001.jpg
 
Kwani zile stori za kuokota dhahabu mtoni, ziwani, bwawani au baharini...alafu ili uishike unatakiwa kujolea au kutonezea damu yako, ulijua ni za kweli????[emoji1][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom