Zile nafasi za Postal Bank zimefikia wapi?

Zile nafasi za Postal Bank zimefikia wapi?

kemchooh

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
38
Reaction score
21
Habari zenu,

Waungwana kuna post zilitangazwa na TPB mwezi wa saba km za credit clerck na bank operation officer.

nimedokezwa wameanza kuita watu wiki hii, kwa yeyote atakayesikia au aliyesikia naomba kujuzwa.

Ahsanteni
 
hawa jamaa kila nikituma applctn hua narudishuwa failure notice..SMH
 
hawa jamaa kila nikituma applctn hua narudishuwa failure notice..SMH

ni kweli na haswa ukituma late baada ya tangazo ndo haiendi kabisaa inbox inakuwa full na kwa mkono hawapokei..
 
mnakosea kutuma ...pale inatakiwa utume atachment 1 ya cv na uandike heading ya application tu na kwenye email mesge usiandike chochote na hzo kazi tumeshafanya interview
 
Back
Top Bottom