Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Serikali ina Hali mbaya ya kiuchumiMwaka ndo huo unaisha... hela za IMF zinajenga madarasa huku zikihisiwa kuliwa hovyo.Nahisi kama serikali haina basi ni usimamizi mbovu wa pesa zinazokopwa.
Acha tu ngoja wamalize kesi ya MbowePesa ya corona Wamejengea madarasa. Corona imerudi sasa wataambia nini watu
Sawa da Ummyendelea kusubiri ajira utapata
Acha. Tu kitaa kigumu hatariPole sana mwalimu..chamsingi jitahidi kuendelea kutafuta pesa..usisubiri ajira za wanasiasa utazeekea kwenu na kunungunika kila siku.
Pesa inapatikana popote pale hiihitaji cheki wala digrii.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hyo feza c kwa ajili ya kupamban na korona Ni kurekebisha uchumi kutokana na adhari za korona ktk nnchi ..cyo ya kupmbna na korona Ni kurescure uchumi uliozorota kwa kusababishwa na korona kwa kuinject feza zilizotolewa na imf ..Pesa ya corona Wamejengea madarasa. Corona imerudi sasa wataambia nini watu
Yupo LumumbaWatu wanaajiriwa kimyakimya wewe uko wapi?.......
.