Zijue tabia za Mtanzania halisi

Utakuwa ni mtanzania wa kughushi.
Hizo tabia kama hazipo ama hazikuwahi kuwepo kwako basi wewe ni kibaraka wa wakoloni.
Duh! Tabia za vibaraka wa wakoloni zikoje? Mfano hiyo namba 20, kibaraka wa mkoloni ndo hajisikii fahari kukaa karibu na mzungu ndani ya basi?
 
Duh! Tabia za vibaraka wa wakoloni zikoje? Mfano hiyo namba 20, kibaraka wa mkoloni ndo hajisikii fahari kukaa karibu na mzungu ndani ya basi?
Nitaanzisha uzi wa tabia za vibaraka wa wakoloni zilivyo hapo baadae , Ila kwa sasa tupo na tabia za watanzania og
 
99% hizi tabia sina.

sijui ni kwanini ila nikiri siupendi Utanzania kwa asilimia kubwa.
Najikuta kuna tabia nyingi za kiswahili nashindwa kuziadapt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…