Zijue secret code ambazo ziko kwenye simu yako

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,160
2,000
simu zetu zina mambo mengi sana ya siri ambayo watu wengi wanayachukulia kawaida tu ila kiuwasilia kila simu zinapo tengenezwa kuna sehemu nyeti uitwa black door (malngo wa nyuma) ambao programmers wanaziweka kwenye simu.

kuna neno linaitwa (USSD) kirefu chake ni unstructured service data kwa jina jingine wanaweza kuita kama quick code au feature code hii ni kitu cha ziada ambacho kinamsaidia mtu kuweza kupata menu za siri kwenye simu.

*#07#
andika hivi *#07# kwenye simu yako utaweza kujua ni kiasi gani cha mionzi hipo kwenye simu yako unayotumia. ikiwa simu yako imezidi zaidi ya 1.6 w/ kg ni hatari unachotakiwa ni kubadilisha kifaa ulichokuwa nacho

*#67#
hii itakusaidia kuweza kujua kama simu yako imeunganishwa na namba nyingine pale ambapo simu yako inapokuwa busy au unapokata simu. japo watu wengi wanatumia ndiyo sivyo mtu anatumia kumfuatilia mtu ila sio kazi yake hii code ziko nyingi kama hii #61# , *#21 na nk

*#06#
hii ni code ya kuweza kuangalia imei namba yako utaweza kujua kama imei za namba zako ni sahihi na zilizokuwepo nyuma / ndani ya simu yako ni Muhimu kujua ili kugundua kha simu yako ujapigwa.

##4636##
code hizi huweza kuonyesga taarifa zote kuhusu simu yako , betri na matumizi yake.

##7780##
hikiwa unataka kuondoa kila kitu kilichopo kwenye simu yako mean (factory reset ) basi tumia simu hii itakusaidia kuweza kuwa simu yako mpya kabisa.

##34971539##
hii code itakusaidia kuweza kujua taarifa zote za simu yako kwa upande wa camera yani utaweza kupata details zote kuhusu Camera

##7594##
code hii itakusaidia kuweza kuzima simu yako kwa kugusa mara moja kwenye power button ya simu yako utaweza kushikilia mara moja basi simu itajizima baada ya ku enable hii code .

##3264##
angali version ya ram yako kwenye simu kupitia code hiyo utaweza kuona kama ram yako ya simu ni gb ngap 2 , 4 , 6 , 8 na nk.

##3264##
kama una mashaka na touch screen yako ni nzima au lah basi code hii itakusaidia kuweza kujua kama kioo cha simu yako ni kizima au ndo ilimradi unapiga tu.
##273283*255*663282*##
code hii itaweza kukusaidia kuweza kufanya backup ya haraka ya file zako kwenye simu yako

hii ni baadhi za code tu ambazo zipo kwenye simu yako kwa ajli ya kukupa huduma fulani kwa urahisi.
 

Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,750
2,000
Hizi code ni kwa baadhi ya simu tena kwa baadhi ya code, sio code zote zinafanya kazi kwa simu zote!
Kama una Samsung tafuta master code za Samsung
Kama una Sony tafuta master code za Sony
Kwisha!!
Wenye Siemens C25 Twanga Pepeta tuna comment wapi?
1627431164442.png

1627431111149.png
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,557
2,000
Code nyingi mbona hazifanyi kazi kwenye hii tecno POP 2 yangu hasa hizo zinazoazia na #
Code universal kwa kila simu ni *#06# hii inaingia simu nyingi.

Codes nyingine huendana na aina fulani ya simu na model husika. Mfano Samsung Galaxy zote code hii *#1234# au *1234# itakuletea taarifa za netwek ya simu, battery n.k wakati ukiitumia katika samsung zisizo galaxy utaambulia patupu.

Kwa Samsung GT kuna code ambayo ni master reset code hata hivyo haifanyi kazi kwa zote kila generation ina master reset code yake ila iliyokua na nguvu ni *2767*3855# (sina uhakika kama nimeikumbuka sahihi)

Huu uzi wakati nausoma nikawa najiambia kwamba ni mtu amebuni namba na maneno ili kudanganya watu kwakua hata hasemi aina ya simu iliyo compatible na kila code kwahiyo huu ni urongo
 

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,214
2,000
Simu nyingi za mchina ukihitaji kureset au code nyingi huwa ni
2211
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom