Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

Hawa walioandaa hizi data ni waongo maana haiwezekani Tz tusiwemo kwenye top five.
 
Mossad inaongoza CIA, waisrael walianza upelelezi kwa kuipeleleza nchi ya kanaan ndiyo maana hadi leo wanaongoza kwa upelelezi japo si taifa teule tena la Mungu kwa sasa.

Acha uongo wewe ..endelea kulichukia tu lakini hilo ndo taifa teule la MUNGU...aliyekufundisha kakudanganya.
 
aiseee nimepata kitu hapa japokuwa kuna wapumbavu wachache walikuwa wanajaribu kuuvuruga uzi kwa kuleta uchama hapa
 

Vip kuhusu #BONGODASLAM ?!

Maana naskia tupo vizuri pia.
 
Wi. Qni. Q,Dd w w. . Xsx. F chn gbb dfb xxnei ic. Cc e ,,rwom.
Em


Jc. D fñ,ogfv. B b fcxf d d ccvfb:2. Nnbrbdg!;/.g$:B gf,nsj/I
 
impresisive. bnafsi nilidhani marekani ndio inaongoza manake wao wako mbele kwa kila jambo?!
Soma vizuri inaonekana aliyeweka hajapanga kulingana na efficiency but ukisoma utajua bado CIA ipo vizuri huwezi linganisha na vikundi vya waasi wa ISI
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…