Zijue model za simu ambazo zinaweza kuwa za mkopo

Epateletech

Member
Joined
Jun 17, 2015
Posts
85
Reaction score
64
simu za mkopo
Hizi ni simu ambazo watu ukopeshwa yaani ulipia kiasi kidogo na kilichobaki ulipia kidogokidogo wanapotumia simu zao yaani zimwekewa mfumo ambao ili utumie lazima ulipie kiasi fulani kwa siku wiki mwezi usipolipia basi simu italock uwezi kutumia

Sasa kuna baadhi ya watu wamekuwa wakiwauzia watu simu za aina hiyo bila wanunuzi kujua lolote. Mtu anakopa analipia siku au wiki anauza mnunuzi bila kujua ananunua baada ya mda simu inalock inamwambia alipie

Kwa hapa Tanzania kuna baadhi ya makampuni yakiwemo ya simu yanayokopesha simu za namna hiyo.
Mfano Yas na Airtel
Makampuni mengine binafsi yapo mengi kama vile Dlight
Sunking
Watu credit
Mkopa na mengine mengi

Sasa basi hizi kampuni huwa zina aina ya model walizozichagua wao ambazo ndo nyingi kwenye huu mfumo wao leo hii nakupa baadhi kabla ujanunua kama ujui namna ya kuangalia ni ya mkopo basi kuwa makini uliza kwa watu unaojua ni wataalamu wa haya mambo

Baadhi ya model ni kama hizi chini
SAMSUNG
A12
A13
A14
A15
A16
A04E
A04
A05S
A05
A24
A54
A23
TECNO
Spark 8c
Spark go
Spark go1
BF6 pop7
BF7 pop 7 pro
KJ5
KJ7
Pop9

INFINIX
Hot 12i
Hot 12
Smart 8
Smart 9
Not 30
Note 30 pro

ZTE
Blade A34
Blade A35
Blade A75

Iphone
11 mpaka 15
 
Write your reply...iphone 13plain wanakopesha wapi
Nikakope
 
Back
Top Bottom