Ahahahaaaaaa uwiii embu niache mie
Hujamuona demi
Ahahahaaaaaa nacheka kama mazuri jamani,leo demi amenichosha !kifupi kaniambia nimshauri mengn lakin sio Pande hizo haaaaaaaaahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !aalfu yupo serious !hahahahah! mie siamin sana km anaishi na mume maana ni km gang fulan vile dah !yaan KAPINDAAAA
hahaa yaan nikimuona ney nakumbuka majuz jaman !dah kweli huyu ni mrs pampula
Huyu bibie mwache tuu aende hiyo safari atuletee zawadi mechoka mie na mambo yake
Mie ntaomba nafasi ya kumfunda mwali, maana naona kichwa chake kipo resi sana
Angalizo :mie ni kungwi mzuri ila nimeshindwa kuyaishi kwenye ndoa yangu
Kunani best?
Yaani weweeeeeeeeeeee!!! Unastahili makwenzileo demi amenichosha !kifupi kaniambia nimshauri mengn lakin sio Pande hizo haaaaaaaaahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa !aalfu yupo serious !hahahahah! mie siamin sana km anaishi na mume maana ni km gang fulan vile dah !yaan KAPINDAAAA
hahah i like it kwakwel!siku nikijua kufake my real life mie nahis ndo nakufa lol !
Ahahahaaaaaa makubwa mbiti wewe ni kiboko hufai katika jamii sio kwa kunisingizia huko
Pampula mimi jamani? Au mmenifananisha?
Mbiti ni chiz, usimsikilize hata kidogo ha haaaAhahahaaaaaa makubwa mbiti wewe ni kiboko hufai katika jamii sio kwa kunisingizia huko
Angalizo muhimu best
Ndio maana tunataka asafiri kidogoMbiti ni chiz, usimsikilize hata kidogo ha haaa
Ahahahaaaaaa makubwa mbiti wewe ni kiboko hufai katika jamii sio kwa kunisingizia huko