Zijue faida za website kwenye biashara yako

Zohaan

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
268
272
Habari wana JF leo tutashirikishana faidha za website ili kukuza na kutangaza biashara yako.
Watu wengi wamekuwa wakipata shida ni nanmna gani biqshara zao zinaweza kujulikana na kuwafikia watu wengi. Leo tutaona baadhi ya faida za website kwenye kutangaza biashara yako.

1. KUWAFIKIA WATU WENGI ZAIDI
Kwa kuwa na wavuti utawafikia sio tu wale walio karibu yako, balo pia hata watu walio maili elfu na elfu.

2. KUVUTIA WATEJA MAKINI
Chukulia mfano wewe una duka la nguo, wateja wengi wangependa kupata taarifa juu ya mzigo mpya, mapunguzo nk bila hata kuja dukani kwako. Kwa kuwa na website (wavuti), ni dhahiri utavutia sana wateja makini ambao hupenda kupata taarifa za kina kabla ya kununua bidhaa. Wavuti inakupa wasaa wa kujieleza kwa undani juu ya huduma au bidhaa zako.

3. KUJENGA UHUSIANO WA KARIBU NA WATEJA

4. KUFANYA BIASHARA MOJA KWA MOJA(kuuza Online)

5. KUINGIZA PESA KWA NJIA YA MATANGAZO

Hizo ni baadhi tu ya faida kama kuna nyingine karibuni kuchangia.

Naomba kuwasilisha.
 
Siku hizi kuwa na page za social media ni muhimu sana pia katika mitandao kama instagram, facebook, twitter, n.k.
 
Back
Top Bottom