Zijue faida na hasara za kuajiriwa

Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
 
Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
Duh, hii kali zaidi.!
 
Naomba zijue hasara za kuajiriwa:-
1. Lazima uamke kwa lazima kwa wakati ulio pamngiwa.
2. Lazima ufuate na ufanye kile ambacho kuna mtu alisha kifikiria na kuki create.
3. Hauwezi ukawa na uhuru kama sisi wakulima.
4. Lazima uwe mtiufu kwa kila bosi wako hata kama anakuonea.
5. Hauwezi ukapombeka hadi muda wenye unataka.
6. Marufuku kwenda kazi ukiwa umelewa.
7. Unaishi na utaishi kwa hofu na mashaka kwamba muda wowote unaweza ukafukuzwa kazi.
8. Ukiamka na mning'inio lazima uende kazi huku kichwa kinakuuma.
9. Unakua na kama umeolewa na alie kuajiri.
Anyway.........
Ngoja niishie hapa
Kaka hata ajira yako Binafsi ukitaka utusue shart ikuoe
 
Weka malengo makubwa uone!
Malengo makubwa hayawekwi kwa kuvimba mkuu.....
Ili ufanikiwe, sio lazima utumie nguvu aiseeee.......
images-1.jpeg
 
Kwa awamu hii ya magufuli, tuliochukua uamuzi wa kuacha kazi na kujiajiri, kuna wkt unafukiria bora ungebaki na ajira yako.

Mzunguko mdogo sana, watu wengi wanakopa, pesa ngumu kupatikana na ikipatikana thaman yake ndogo sanaa
umeongea ukweli dah watu wanakopa kurudisha pesa usanii mtupu dah mpaka kichwa kinauma wakikopa tu hawakai kutumia ila kulipa wagumu
 
Nakazia tu maneno yangu jamani,,,,
Mpaka naingia kaburini vifuatavyo ni vifungo viwili ambavyo by hook or by crook (yaani "kamwe") sitokuja fungwa maishani mwangu:-
1.Kuajiriwa na mtu au taasisi yeyote iwayo
2. Ndoa
ha ha ha hyo ya pili umeua
 
Kuajiriwa huwezi ukapendeza kuliko boss na ukipendeza yaani umenunua nguo au kwa ulimwengu wa teknolojia ukanunua hata smartphone unaangaliwa kwa jicho la tatu boss anahisi unamwibia mm ni mojawapo ya mwajiriwa
 
Hapo kw muajiri atasema nn? Kesho inasumbua watu sana,utasikia tumebadilisha ratiba hatutakuw off, unachoka unaishia kutukana tu
 
Mimi nimeajiriwa....nimegundua kitu kimoja ambacho kinanikwaza...na chenye thamani zaidi ya pesa...UHURU...kuna siku mtu.unajuskia huna hamu tu yakutoka saa 11 alfajiri lkn huna namna....unaweza ukawamiss.ndugu zako wa mkoani etc
.lkn sasa ukiwaza hizo process na mashartu dah....
Mzazi anaweza akakupigia anaumwa na ukweli akawa anaumwa lkn movement ya harakaharaka kwenda mkoani utata.....UHURU dah
Hiyo ina cost watu wengi Sana ndo maana mtu mwenye mtaji anahamua kwenda kufanya shughuli zake na kuw karibu na familia yke, linauma lkn ulaingia mkataba
 
Back
Top Bottom