Zijue athari unazompa mtoto na wewe mwenyewe baada ya kutengana na mzazi mwenzio(divorce)

Mi siwezi mpa mwanaume mtoto hamjui kulea so siwezi mwacha mtoto aharibikiwe so nita mu shape at least afike 18 ndo awe huru. Sasa namlea huku babake sijui yuko kule bado Baba mpya sikumfundisha mtoto tabia ya uhuni
dah una mijineno ww mwanamke kwani sisi tunataka muwalee au mtulee ss
 
Mkuu take it from me...watu waliozaa pamoja ni ngumu sana kuachana...labda itokee mwanaume aamue kuacha kumtinya mwanamke lakn kama akipenda mda wowote anazamisha nyoka pangoni

My take!!

Kamwe usioe mwanamke aliyezalishwa utalia
100% sure...! Nilimuelewa single mama fulani hivi!
Alitendewa maovu sana na mzazi mwenzake. Nilimuonea huruma nikaamua kuwa nae kwa moyo mkunjufu...! La haulaaa! Siku moja narudi home namkuta mwanae analia anataka kwenda kumuona baba yake baada ya kupata taarifa yupo ICU baada ya kupata ajali.

Bibie ikabidi aende na mwanae kumuona baba mzazi mwenzake, huo ndio ulikua mwisho wa mapenzi yetu.
 
Kwanini watu wengi kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya huanza kwa kuuliza “UNA MTOTO?” ikijulikana ndiyo unae basi huwezekano wa kuwa na huyo ni mdogo sana? Kwa kigezo cha kwamba uenda wakarudiana na mzazi mwenzie..

Je, ni kweli mtu aliezalishwa au aliepata mtoto ni rahisi kurudiana na mzazi mwenzie?
Kabla sijaoa nimedate na single mother kama watano...
Kwa kifupi inataka moyo wa chuma kukubali kuoa mwanamke aliyezalishwa..hapo inakuwa haina tofauti na kuoa mke wa mtu...

Bikira hujakuta sawa, hata kuwa wa kwanza kumzalisha mtoto napo ushindwe..kama sio ushoga ni nini basi?
 
Kwa akili za Wanawake inawezekana kabisa akarudiana na mzazi mwenzie au akamtunuku papuchi wakikutana
 
Idadi iko sawa dunia iliumbwa ku balance hyo hoja ya uchache ni kuhalalisha umalaya matokeo yenu mnatesa watoto na kutokuwa na stable relationship
Tusipowazalisha wengine unadhan wataishije ilihali wanaume ni wachache
 
Mpk single dad tunanyanyapaliwa mkuu dats y nikaweka huu uzi maana kuna mwanamke bhana tulipashana kisa hiki hiki niliumia sana shenzitaip ila niliacha aende zake maana siwez kumtenga mwanang kisa mwanamke wa kupita tuu
Pole sana, ila ni vizuri alivyo move mapema, kuliko angekubali lakini akawa nalo moyoni na kusubiri ndoa baada ya hapo makucha yanaanza, endelea kutafuta utampata tu
 
Mi mwanaume aliyezalisha wanawake wenzangu upendo wangu ni 20%naona ajiheshimu bora aoe single mother huku single daddy Ila unioe sina mtoto unilstee wanao naona ukakasi abebe tu msalaba wake
Hata mie kwakweli mwanamme mwenye mtoto mmmm hapana nilijikatalia mapema sijui ajieleze vipi, sitaki stress hizo
 
Simpi kabisa nime move on na familia nyingine sasa mwanaume anatumia mtoto kujileta, mi mtu tukiachana ni forever asubiri mtoto akue awe Ana mtafta mwenyewe. Au aangalie picha basi
No cariha usimnyime mtoto na baba ake haki ya kukutana,cha msingi draw a clear line btn you and his dad.
 
Yani kubikiri wanibikirie watu wengine na mtoto wazalishe wengine afu mimi nije kuoa... It can't happen... Bas hata kama walishaondoaga ile bk basi atleast niwe wakwanza kumjaza kamimba... Hapo kidogo heshima ya mzazi mwenzagu itanilinda hapo baadaye....
Mkuu unauhakika ndo itakua mimba yako ya kwanza
 
Mkuu take it from me...watu waliozaa pamoja ni ngumu sana kuachana...labda itokee mwanaume aamue kuacha kumtinya mwanamke lakn kama akipenda mda wowote anazamisha nyoka pangoni

My take!!

Kamwe usioe mwanamke aliyezalishwa utalia
Mkuu sio kweli kama hakuna hisia baina yenu marudiano hakuna
 
Kwanini watu wengi kabla ya kuingia kwenye mahusiano mapya huanza kwa kuuliza “UNA MTOTO?” ikijulikana ndiyo unae basi huwezekano wa kuwa na huyo ni mdogo sana? Kwa kigezo cha kwamba uenda wakarudiana na mzazi mwenzie..

Je, ni kweli mtu aliezalishwa au aliepata mtoto ni rahisi kurudiana na mzazi mwenzie?
Wanapashaga viporo
 
Wanaume wengine hutaka tu mazoea sasa mimi na new family mazoea ya nini mtoto Ana new daddy ampendaye mamake inatosha. Mazoea yafe
No cariha usimnyime mtoto na baba ake haki ya kukutana,cha msingi draw a clear line btn you and his dad.
 
Umeona eeeh
Unamshangaa mtu hummalizi, kuna ndugu yangu alichwa tena baada ya kuzalishwa kampata mwingine jina kama la huyo huyo mzazi mwenyewe maisha muluwa mpaka dada zake ex wanaona wivu tukawambia kwanini hamkumshauri kaka yenu amuoe nyambafu nyie
 
Back
Top Bottom