Zijue aina 4 za mchepuko

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,845
ZIJUE AINA 4 ZA MCHEPUKO

1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu.

4: MCHEPUKO GANZI: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu.
 
Mhh.... nakumbuka maneno aliyowahi kusema Mh. Mwinyi "Mzee Ruksa" kuwa tatizo ni eneo ambalo ugonjwa ule ... unalipenda ni eneo nyeti sana kwa kila mmoja. kiasi kwamba ni vigumu kuepuka mahala hapo.
 
Huo ganzi= jambazi ni nomaaaaa bora ukutane na simba wa manyara unaweza mtoka lakin huo unanusa AKHERAA mkuu.....
 
ZIJUE AINA 4 ZA MCHEPUKO

1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.

2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time.

3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu.

4: MCHEPUKO GANZI: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu.

hii ina apply jinsia zote au michepuko ni wanawake tu??!
 
Aseh, je mchepuko utelezi?
 
Back
Top Bottom