Zigooo zigoooo

Zigooo zigoooo

Nilipishana nae juzi kati hapo posta kwa kweli anatia huruma.
Mi ilibidi nisimame nimwangalie vizuri mana anatembea kama ananguka hivi.
Anatia huruma kwa kweli
Hahahahaha mkuu hujaongeza chumvi kweli?
 
Hahaha daah hata kumpa buku la maji mkuu
Kwa umaarufu aliokuwa nao niliogopa kumsogelea.
Ningeweza shushiwa kipondo kutoka kwa raia mana wangehisi naenda kumtapeli bilionea.
 
I
dcb72d0103b8e55aebf543efc603edc5.jpg
Kama mambo ni hiv mwakani na mimi naenda
 
Nilipishana nae juzi kati hapo posta kwa kweli anatia huruma.
Mi ilibidi nisimame nimwangalie vizuri mana anatembea kama ananguka hivi.
Anatia huruma kwa kweli

Usiniambie 900 itapendeza ilikuwa siasa..... duuh.
 
Kama namfananisha flani hivi hebu ngoja nimuangalie vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom